Mwezi ujao napata milioni 30. Naomba ushauri namna ya kuzitumia

Mwezi ujao napata milioni 30. Naomba ushauri namna ya kuzitumia

Nunua bodaboda 10 uwape vijana wakuchumie hela, boda moja kwa siku 12,000 tzs kumi ni 120,000.
Kwa mwezi ni 3,600,000 tzs. Yaani utakua na uwezo wa kuongeza boda mpya kila mwezi mpaka uwezo wako wa kuzi control utakaposhindwa.
 
Kipindi hiki unachosubiria pesa pitia biashara mbalimbali ili upate tarifa sahihi kabla ujafanya mamuzi ya kuwekeza kwenye biashara,biashara ya mazao,biashara ya vifaa vya umeme, biashara ya vifaa vya ujenzi ,biashara ya usafirishaji, pia biashara ya uwakala wa pesa, biashara ya spea ,biashara ya mahitaji ya nyumbani, hakikisha unapata tarifa sahihi .kama unafanya biashara wekeza kwenye iyo biashara
 
Tia millioni 20 mpe yanga anashinda mechi yake dhidi ya kaizer chief tarehe 27 Odd 2 million 40 hii hapa On zee pocket 😁😂😂

5 unakula bata binafsi

5unakula bata shirikishi na mpenzi wako (waifu)

2 unawalisha bata watoto

Kwenye ile 20 million ya faida inabaki millioni nane

5 unaenda kuweka heshima ukweni

3 unaweka heshima kwenu

Inabaki 20 million exactly sasa hapo unakua umejiweka sawa exactly kiemoshono, kifiziko bila kusahau kibayolojiko hata maamuzi ya hiyo 30 million yatakua sahihi na baraka za ukweni utakua unazo
Kila unachogusa ni big yess😂😂😂

😂
Najua unajua kwanini sijasema uweke 30 million
😂
Tusije kukuta mtu kajinyonga
Ukapanda cheo kutoka jf expert member mpaka kwenye RIP
 
Habari mwezi ujao naenda kupata mil 30 vijana wenzangu naombeni ushauri ili nisije kujuta baadae maana hela saiz sina. Na hiyo ela sizani kama nitaipata tena kama hiyo naombeni ushauri kama ungekuwa wewe ungefanyajee.
Nina mke na watoto 3
Tenga milioni 5 kainywee bia sehemu zenye hadhi, hapo utakitana na watu wenye hadhi kuweza kukupa connection ya michongo ya maana .
 
Habari mwezi ujao naenda kupata mil 30 vijana wenzangu naombeni ushauri ili nisije kujuta baadae maana hela saiz sina. Na hiyo ela sizani kama nitaipata tena kama hiyo naombeni ushauri kama ungekuwa wewe ungefanyajee.
Nina mke na watoto 3
hiyo pesa ukipokea tu chawa,wapambe pro max na pisi kali ndio zitakuwa karibu yako
 
Habari mwezi ujao naenda kupata mil 30 vijana wenzangu naombeni ushauri ili nisije kujuta baadae maana hela saiz sina. Na hiyo ela sizani kama nitaipata tena kama hiyo naombeni ushauri kama ungekuwa wewe ungefanyajee.
Nina mke na watoto 3
Kanunue bangii tarimeee uza Kenya ndugu anza na mil 10 kwanza 20 m Weka bank
 
Back
Top Bottom