NetMaster
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,454
- 4,925
Mimi ni fundi seremala huwa napenda sana kutumia internet hasa youtube kuongeza ujuzi.
Nimejikuta natumia wastani wa shilingi laki moja na elf 30 kila mwezi kwajili ya internet kwenye kucheki youtube, netflix, kudownload cartoon za watoto, kushare internet, n.k.
Nataka nipunguze gharama hio iwe elf 25 tu kila mwezi
Katika pita pita zangu kucheki mbadala nikaona hawa ttcl wana internet bila kikomo kwa bei rahisi wanakuunga kwenye nguzo zao.
Kwangu mimi nguzo zimepita ila waya umekatikia kwenye nguzo ya tatu,
Je ninaweza kupata hii huduma ??
Chief-Mkwawa
amryvinc
sky soldier