Kama una namba za fundi weka hapa utasaidia wengiTafuta namba za mafundi uwasiliane nao moja kwa moja ukishajaza fomu
wasumbue mpaka waone kero
Ishu ni kwamba mafundi wapo kutoka maeneo tofauti inategemea na eneo husika,,Kama una namba za fundi weka hapa utasaidia wengi
Huko TTCL ofisini watu tumeenda sana imefika hatua mpaka nimeanza kuwafahamu wafanyakazi majina yao, couples, na vitengo vyao hadi mishahara wanayolipwa
Kabla tozo hazijaingia nilijaza fomu ya hii huduma lakini mpaka saizi mwigulu kazifuta bado swala langu limekuwa kipengele
umenena aisee,,, niliwahi kwenda kwa customer care pale mapokezi nikaambiwa hawana hii huduma sehemu yoyote,Kama una namba za fundi weka hapa utasaidia wengi
Huko TTCL ofisini watu tumeenda sana imefika hatua mpaka nimeanza kuwafahamu wafanyakazi majina yao, couples, na vitengo vyao hadi mishahara wanayolipwa
Kabla tozo hazijaingia nilijaza fomu ya hii huduma lakini mpaka saizi mwigulu kazifuta bado swala langu limekuwa kipengele
Kama mdau hapo alivyokuambia wasiliana na mhusika anaekuja kukufungia, kila ofisi inakuwa na wale jamaa wanaopanda kwenye nguzo wanatembea na gari zao zenye ngazi zile kama za Tanesco. Ongea nae vizuri mpange atakuja fasta tu, huko ofisini wengi hata hawajui kwenye field mambo yanaendaje.Mimi ni fundi seremala huwa napenda sana kutumia internet hasa youtube kuongeza ujuzi.
Nimejikuta natumia wastani wa shilingi laki moja na elf 30 kila mwezi kwajili ya internet kwenye kucheki youtube, netflix, kudownload cartoon za watoto, kushare internet, n.k.
Nataka nipunguze gharama hio iwe elf 25 tu kila mwezi
Katika pita pita zangu kucheki mbadala nikaona hawa ttcl wana internet bila kikomo kwa bei rahisi wanakuunga kwenye nguzo zao.
Kwangu mimi nguzo zimepita ila waya umekatikia kwenye nguzo ya tatu,
Je ninaweza kupata hii huduma ??
Chief-Mkwawa
amryvinc
sky soldier
Shukrani mkuu umenipa mwanga, naona kweli wale wanaotembea na gari zenye nguzo ndio wa kudeal nao.Kama mdau hapo alivyokuambia wasiliana na mhusika anaekuja kukufungia, kila ofisi inakuwa na wale jamaa wanaopanda kwenye nguzo wanatembea na gari zao zenye ngazi zile kama za Tanesco. Ongea nae vizuri mpange atakuja fasta tu, huko ofisini wengi hata hawajui kwenye field mambo yanaendaje.
Pia TTCL wana uhaba wa vifaa kama Router, hao hao malizana nao wanajua pa kuzipatia.
4mbps kwa 25000 inatosha kabisa inastream youtube 720P bila tatizo,
inategemea wanakata vipi mkuu maana hii statement ni tataShukrani mkuu umenipa mwanga, naona kweli wale wanaotembea na gari zenye nguzo ndio wa kudeal nao.
Wale customer care ni bure kabisa, wanajua tayari shirika ni la serikali mishahara ipo ya uhakika hawataki kuamka hata kwenye viti wakushughulikie, majibu yao ya kukufanya uondoke wao waendelee kukaa tu.
Itabidi nishughulike na hii ishu mpaka niipate kwakweli maana internet kwangu inazidi kuwa gharama.
By the way huko bungeni wamependekeza mabando yapande.... Tukae mkao wa kula
wewe hii adsl unayo mkuu ??
Process kwako ilikuwaje ?
umeridhika na huduma yao?
Ninayo adslwewe hii adsl unayo mkuu ??
Process kwako ilikuwaje ?
umeridhika na huduma yao?
kwa kuongezea unaweza kuona muda huu hali ilivyowewe hii adsl unayo mkuu ??
Process kwako ilikuwaje ?
umeridhika na huduma yao?
Karibu sana mkuuMimi ni fundi seremala huwa napenda sana kutumia internet hasa youtube kuongeza ujuzi.
Nimejikuta natumia wastani wa shilingi laki moja na elf 30 kila mwezi kwajili ya internet kwenye kucheki youtube, netflix, kudownload cartoon za watoto, kushare internet, n.k.
Nataka nipunguze gharama hio iwe elf 25 tu kila mwezi
Katika pita pita zangu kucheki mbadala nikaona hawa ttcl wana internet bila kikomo kwa bei rahisi wanakuunga kwenye nguzo zao.
Kwangu mimi nguzo zimepita ila waya umekatikia kwenye nguzo ya tatu,
Je ninaweza kupata hii huduma ??
Chief-Mkwawa
amryvinc
sky soldier
Karibu sana mkuu
#RudiNyumbaniKumenoga
Mi nipo mbezi beachKaribu sana mkuu
#RudiNyumbaniKumenoga