njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Wakati wako busy kusajili wachezaji wa bilioni 1.2 na mwingine wa billion 5 huko South Africa huku itaaarifiwa pia wanaenda kutoa billions 12 kuchukua mwingine toka Misri team ya yanga fc mwezi ujao itashushwa daraja baada ya tarehe 3 july pale watakapogoma kuingiza team uwanjani vs simba.
Hii ni baada ya leo wazee wa klabu hiyo kutoa official statement wakiwa na mwenyekiti wa team hiyo tena mbele ya banners zenye official sponsors, mechi hiyo iliahirishwa na wizara inayoongozwa na mwana yanga kindakindaki ambaye nampa ushauri huu, baada ya kushushwa daraja yanga watenda kushtaki CAS na kusema serikali iliingilia michezo sasa bwana bashungwa nakupa jibu la kusema huko na hakuna kima yoyote ataifanya kitu TFF.
ilipofika saa sita mchana vyombo vya usalama vilikuta package isiyo y a kawaida chooni uwanjani ikadhaniwa ni bomu ili kutokuleta taharuki kikaondolewa haraka na bomb squad huku juhudi zikiendelea kuhakikisha usalama ikaamuliwa kupeleka mechi mbele ili kujihakikishia usalama..
huo utetezi unaweza kutumika hata fifa kama yanga wataamua kutunishiana kifua
TAFADHALI TFF KANUNI ZIFATWE BAADA YA HIYO TAREHE 3 WAKACHEZE DARAJA LA PILI HUKO