Mwezi ujao Yanga itashushwa madaraja mawili, serikali ijitetee hivi huko FIFA

simple tu acha washishwe waende huko CAS serikali itasema kulikuwa na tishio la usalama ,kwisha kazi
Jamaa wanakera mno yaani wanajiendesha kama watoto wa mitaani yaani ukiwasikiliza hoja zao ni za kijinga sana hebu rejea kipindi kile wanakataa kuvaa logo ya vodacom yenye rangi nyekundu yaani wakabisha hadi wakawekewa logo nyeusi wakati kampuni ya voda inatumia red logo kisa tu wao wamegoma na kwa kuwa TFF ilikuwa chini ya shabiki wao ikawa hivyo sasa zile tabia za wakati huo zinaanza kujirudia tena.Hawa watu washughulikiwe.Kama ni ligi timu zilizobaki zitacheza tu vema
 
hadi graphics designers wao kuna kipindi wakitengeneza flyer mfano yanga vs simba ,logo ya simba ile nyekundu wanaichakachua inakuwa ya kijani au team yenye nyekundu kama coast union wanaharibu rangi kabisa ,ni majitu ya hovyo sana kwa kweli
 
Simba msihangaike na mind game ya utopolo mkaacha kujiandaa na mechi.

Hawa jamaa wanajitahidi kucheza na akili za wana Simba sana.Ila timu wataingiza.

Hakuna mtu aliye juu ya serikali hata FIFA yenyewe haiko juu ya serikali yoyote
 
Simba msihangaike na mind game ya utopolo mkaacha kujiandaa na mechi.

Hawa jamaa wanajitahidi kucheza na akili za wana Simba sana.Ila timu wataingiza.

Hakuna mtu aliye juu ya serikali hata FIFA yenyewe haiko juu ya serikali yoyote
Simba kila mechi ni fainali zaidi zaidi wanajitoa mchezoni wenyewe
 
Msije tu uwanjani tarehe 3, July
Ukiona wamekuja basi wamebembelezwa sana nyuma ya panzia.

Ugumu ni kuipa Yanga adhabu hiyo mnayotegemea atapewa,hakuna kiongozi mwenye ujasiri huo,unaishushaje timu kama Yanga daraja??hivi hata wewe unaanzia wapi?hata Manara hawezi kuchukua uamuzi wa kuishusha Yanga daraja...timu ambayo ndo inaifanya ligi kuwa ligi.Hata haya matatizo wangekuwa nayo Simba hakuna mtu ambaye angeishusha daraja.

Msimamo wa Yanga TFF hawataudharau watafanya kila juhudi za kibusara Yanga ilete timu uwanjani kwa sababu hawana ubavu wa kuiadhibu isipoleta timu,amini.
 
Mbumbumbu fc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…