Mwezi ukiandama mnishtue. Nimekula pesa ya wife ananidai

Mwezi ukiandama mnishtue. Nimekula pesa ya wife ananidai

Wewe unataka kumpa mwenzako ugonjwa wa moyo.
Hawezi kupata ugonjwa wa moyo, sana sana atapata matatizo kama kichwa kuuma sana, msongo wa mawazo (sonona), shinikizo la damu🤣
 
Mr akiniambia nimkope wala sihangaikagi kumdai make anayonifanyia ni makubwa nawala haulizii wala kuhoji mshahara wangu naupeleka wapi!!
Kumbe watu kama nyie bado mpo ? mnastahili sanamu
 
Kwa style hii kuoa kiukweli nisifikishwe hapo
 
Back
Top Bottom