Mwezi ukiandama mnishtue. Nimekula pesa ya wife ananidai

Mwezi ukiandama mnishtue. Nimekula pesa ya wife ananidai

Mkuu hiyo laki tano ingiza forexi kupata milioni ndani ya wiki ni kama kumsukuma mlevi[emoji2223][emoji205][emoji1787]
Kuliko ampe mkewe Bora akaichome siyo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe na Ontario mlaanike, umbwa nyinyi.
Kuna bitcoins, ni mlango mpya wa utajiri duniani🤣🤸🐒
20210623_210040.jpg
 
Wafanyakazi wa serikalini nashangaa hamna magari yani hata kikwete hahaha!! hii ni hatari

Nimekumbuka huu mstarii wa, ndio mzee
Gari ninayo wewe.
Hebu tulia, kwani gari mpaka fundi cherehani anamiliki mimi tashindwaje!!!
 
Jinsi watu wa JF wanavyokuja na kuinanga serikali utafikiri sio waajiriwa wa serikali [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Back
Top Bottom