Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Wewe unataka kumpa mwenzako ugonjwa wa moyo.Mkuu hiyo laki tano ingiza forexi kupata milioni ndani ya wiki ni kama kumsukuma mlevi[emoji2223][emoji205][emoji1787]
Unatafuta kupigwa risasi ndugu.Nipe namba yake nikusaidie kumtumia
Sisi binadamu wote ni ndugu mkuu
Mkuu hiyo laki tano ingiza forexi kupata milioni ndani ya wiki ni kama kumsukuma mlevi๐คธโโ๏ธ๐๐คฃ
Forexi ni biashara kubwa yenye utajiri mkubwa zaidi duniani ambayo hakuna benki itataka uijue๐๐๐Hiyo forex ingekuwa dill basi sisi walala hoi tusingeisikia. Ingeishia USA tu, Tanzania ingeishia Masaki
Hamna ni msaada tu mkuuUnatafuta kupigwa risasi ndugu.
Hawezi kupata ugonjwa wa moyo, sana sana atapata matatizo kama kichwa kuuma sana, msongo wa mawazo (sonona), shinikizo la damu๐คฃWewe unataka kumpa mwenzako ugonjwa wa moyo.
Sawa nikweli kabisa ndio huwa wanajibu hivihivi๐๏ธ๐๏ธ๐๏ธ๐๏ธForexi ni biashara kubwa yenye utajiri mkubwa zaidi duniani ambayo hakuna benki itataka uijue๐๐๐
Nilimkopa usijali. Oa tuKumbe ndoa ni ngumu hivi[emoji1][emoji1]
Kuna kashemeji kangu kabinti kalitaka kukiunga forex kwa hela ya mirathi.Forexi ni biashara kubwa yenye utajiri mkubwa zaidi duniani ambayo hakuna benki itataka uijue๐๐๐
Kumbe watu kama nyie bado mpo ? mnastahili sanamuMr akiniambia nimkope wala sihangaikagi kumdai make anayonifanyia ni makubwa nawala haulizii wala kuhoji mshahara wangu naupeleka wapi!!