Mti mmkavu
Member
- May 24, 2023
- 36
- 68
- Thread starter
- #21
Mkuu huko mama kaupiga mwingii sio, hongereni ๐๐๐Afya tayari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu huko mama kaupiga mwingii sio, hongereni ๐๐๐Afya tayari
๐๐๐๐Subira kanikimbia nyumbani nae anasema mangi kazidi kupiga piga hodi ๐ญ๐ญ๐ญ
Hata mimi nilitaka kuandika hivi hivi, hawa watu wanatia sana aibu walimu wana njaa sana ili uamini hilo subiri mshahara uingie tembelea ATMWalimu bwana
Mnawaonea mkuu, mvutie ngoma...!! Mambo yakiwa sawa updates muhimuHata mimi nilitaka kuandika hivi hivi, hawa watu wanatia sana aibu walimu wana njaa sana ili uamini hilo subiri mshahara uingie tembelea ATM
๐ญ๐ญ๐ญHakuna maisha magumu kwa wafanyakazi kama yale ya kuishi mwezi/miaka nenda kwa kutegemea mshahara pekee.
๐๐๐ HongereniTyr crdb
Msifanye masihara jamani, mangi kanikalia kooni vibaya na miguu yote ganzi tz 11 ๐๐๐NBC TAYARI
๐คฃ๐คฃ๐คฃ Daah we jamaaBayport nao tayari! ๐
Kwani tayari ?Dawa ya deni kulipa
Msifanye masihara jamani, mangi kanikalia kooni vibaya na miguu yote ganzi tz 11 [emoji86][emoji86][emoji86]
Bora umesema, hawa walimu sijui tuwape elimu ipi waweze kujitambua, maisha yakudokolea mwisho wa mwezi niyakitumwa sanaHakuna maisha magumu kwa wafanyakazi kama yale ya kuishi mwezi/miaka nenda kwa kutegemea mshahara pekee.
Usicheke mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]