Mwezi wa Marehemu wote unaisha

Mwezi wa Marehemu wote unaisha

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
Tuwaombee waliotutangulia wapendwa wetu hatujui tuendako safari yetu ni moja kila mmoja hajui safari yake itaanza lini na akiwa wapi tuombe rehema kwa Mungu sisi ni wakosefu mda wote

Marehemu wote wapate rehema kwa Mungu wapumzike kwa amani

Hii safari wengi inatuumiza na tunajiuliza tunaenda kukutana na nini? Ila kila mtu huwa na majibu yake mwenye ukweli hakuna tuombe rehema
 
Raha ya Milele uwape Ee Bwana na Mwanga wa Milele uwaangazie,wapumzike kwa Amani..Amina🙏🙏🙏
 
Tuwaombee waliotutangulia wapendwa wetu hatujui tuendako safari yetu ni moja kila mmoja hajui safari yake itaanza lini na akiwa wapi tuombe rehema kwa Mungu sisi ni wakosefu mda wote
Huyo Mungu anashindwaje kukupa hiyo "Rehema" mpaka ulazimike kumuomba?

Je huyo Mungu hajui wajibu wake wa kutoa hizo "Rehema" kwa kila mtu?

Au mpaka mumkumbushe huyo Mungu?

Kwanza kwa nini huyo Mungu alikuumba uje kuwa mkosefu?

Mungu huyo Alishindwaje kuumba binadamu wasio weza kuwa wakosefu?
Marehemu wote wapate rehema kwa Mungu wapumzike kwa amani
Hakuna rehema.

Hakuna Mungu.

Ukishakufa umekufa.

Unaoza na habari yako kwisha.
Hii safari wengi inatuumiza na tunajiuliza tunaenda kukutana na nini?
Kwani kabla hujazaliwa ulikutana na nini?

Kama Hakuna ulicho kutana nacho kabla Hujazaliwa, Vivyo hivyo Ukifa hakuna utakacho kutana nacho.
Ila kila mtu huwa na majibu yake mwenye ukweli hakuna tuombe rehema
Hakuna rehema.

Rehema ni illusion.
 
kama siyo Imani yako ni vyema kunyamaza ,kukaa kimya pia ni akili..
Hili ni jukwaa huru.

JF ni Open forum na kila mtu yupo huru kuchangia maoni yake.

Kama hutaki mawazo yako au imani yako ikosolewe, Kaa nayo huko huko usiilete hapa JF kuja kuiongelea.

Ila ukiamua kuweka imani yako hapa JF lazima tuichambue kwa maoni tofauti tofauti.
 
Huyo Mungu anashindwaje kukupa hiyo "Rehema" mpaka ulazimike kumuomba?

Je huyo Mungu hajui wajibu wake wa kutoa hizo "Rehema" kwa kila mtu?

Au mpaka mumkumbushe huyo Mungu?

Kwanza kwa nini huyo Mungu alikuumba uje kuwa mkosefu?

Mungu huyo Alishindwaje kuumba binadamu wasio weza kuwa wakosefu?

Hakuna rehema.

Hakuna Mungu.

Ukishakufa umekufa.

Unaoza na habari yako kwisha.

Kwani kabla hujazaliwa ulikutana na nini?

Kama Hakuna ulicho kutana nacho kabla Hujazaliwa, Vivyo hivyo Ukifa hakuna utakacho kutana nacho.

Hakuna rehema.

Rehema ni illusion.
Kwa mtazamo wako
 
Kwahyo ukweli ni upi
Ukweli ni kwamba.

Hakuna Mungu.

Hakuna Rehema.

Binadamu akifa haendi popote pale, Pia binadamu kabla ya kuzaliwa hayupo na hakuwepo popote pale.

Ukifa unarudi kwenye hali ileile ya mwanzo kabla ya kuzaliwa ya kutokuwepo.

Haukuwepo, ila kwa sasa upo, Ukifa unarudi kwenye hali ileile ya kutokuwepo. Na wengine wata endelea kuwepo.

Haukuwepo>>> Upo>>>Hautakuwepo.

Huu ndio ukweli na uhalisia ulivyo.
 
kasome Luka 16:19-31
 
umri wako ndiyo unaokupa kiburi,muda ukifika kadri unavyokua utakuja kutubu,Bado hujakomaa na hujui unayoyaandika, though kwa sasa unajiona una akili Kweli,unajua kuliko uliowakuta, unajiona critical thinker na argumetor mzuri Kweli kumbe Bado sana...
 
Back
Top Bottom