Mwezi wa Marehemu wote unaisha

Mwezi wa Marehemu wote unaisha

Tuwaombee waliotutangulia wapendwa wetu hatujui tuendako safari yetu ni moja kila mmoja hajui safari yake itaanza lini na akiwa wapi tuombe rehema kwa Mungu sisi ni wakosefu mda wote

Marehemu wote wapate rehema kwa Mungu wapumzike kwa amani

Hii safari wengi inatuumiza na tunajiuliza tunaenda kukutana na nini? Ila kila mtu huwa na majibu yake mwenye ukweli hakuna tuombe rehema
Hakuna maombi yoyote yanayosikika Kwa walio lala. Sona Biblia msidanganyane.

Mungu asema wazi yeye ni Mungu wa wenye MWILI. When someone dies, biashara imeisha.
 
Our belief chakula cha marehemu ni maombi pia bikra maria alivyo watokea watoto wa fatima alisema tusali rozar na tuwaombee wasio na mwombezi
Rosalie ni sanamu, Amri ya Kwanza kabisa kwenye Biblia inasemaje?
 
Our belief chakula cha marehemu ni maombi pia bikra maria alivyo watokea watoto wa fatima alisema tusali rozar na tuwaombee wasio na mwombezi
Maria hakua Bikra Tena, alizaa watoto wengine, Maria hajatajwa Wala kuoneshwa kua mkuu kuliko Yesu.

Yesu asema Mimi ndimi njia uzima na kweli, hakuna ajae Kwa Baba ila kupitia Mimi. Kumpa Maria nafasi ya Mungu ni ibada ya sanamu.
 
acha stori za vijiweni,wataje kwa majina hao watoto...
Kuhusu ubikra kasome .Luka 1:26-45
 
acha stori za vijiweni,wataje kwa majina hao watoto...
Kuhusu ubikra kasome .Luka 1:26-45
Kasome habari ya harusi Yesu alipokwenda Kana. Kasome Wakati Maria alikua akimlilia Yesu pale msalabani. Yesu alimwambia Nini?
 
Tuwaombee waliotutangulia wapendwa wetu hatujui tuendako safari yetu ni moja kila mmoja hajui safari yake itaanza lini na akiwa wapi tuombe rehema kwa Mungu sisi ni wakosefu mda wote

Marehemu wote wapate rehema kwa Mungu wapumzike kwa amani

Hii safari wengi inatuumiza na tunajiuliza tunaenda kukutana na nini? Ila kila mtu huwa na majibu yake mwenye ukweli hakuna tuombe rehema
Mkuu tunapaswa kumcha Mungu na kutenda yale yaliyomema tungali tukiwa hai,ukishakufa kinachofuata ni hukumu tuu kulingana na namna ulivyoishi,so hakuna cha kumuombea marehemu wala sijui alale pema peponi,hyo haipo.Tengeneza maisha yako,tengeneza mambo ya nyumba yko
 
umri wako ndiyo unaokupa kiburi,muda ukifika kadri unavyokua utakuja kutubu,Bado hujakomaa na hujui unayoyaandika, though kwa sasa unajiona una akili Kweli,unajua kuliko uliowakuta, unajiona critical thinker na argumetor mzuri Kweli kumbe Bado sana...
Badala ya kujibu hoja unaleta Viroja na vitisho uchwara. This kind of fallacy is called ad hominem.

Ume pumbazwa na kupewa vitisho uchwara na hizo dini/imani zenu. Ndio unakuja kutisha nazo watu.

Fear and Faith are two ingredients in the manufacturing of religion.

Nakwambia hivi, Hakuna Rehema wala Mungu.

Kila mtu muda wake ukifika atakufa na wengine wata endelea kuwepo na Dunia itaendelea ku exist as normal.
 
kasome Luka 16:19-31
Biblia yenyewe ni fictional book. Haina tofauti na hekaya za Abunuwasi.

Mnakazana kufosi Hadithi zenu uchwara zisizo na uthibitisho wowote ule.

Huyo Yesu hajawahi kuwepo na hayupo.

Huyo Yesu wenu ana exist kwenye kitabu tu wala hayupo katika uhalisia, Sawa na Abunuwasi ana exist kwenye hekaya zake za kitabu wala hayupo katika uhalisia.

Kutumia Biblia kusema kwamba ndio uthibitisho wa uwepo wa Yesu. Ni sawa na kutumia Comic book kusema kwamba ndio uthibitisho wa uwepo wa Harry Potter.
 
Mkuu tunapaswa kumcha Mungu na kutenda yale yaliyomema tungali tukiwa hai,
Huyo Mungu Alishindwaje kuumba binadamu wema tu, watakao mtii siku zote na kutenda mema siku zote?
ukishakufa kinachofuata ni hukumu tuu kulingana na namna ulivyoishi,
Ninyi si ndio mna amini Mungu wenu aliwajua hata kabla hujazaliwa?

Pia una amini kwamba Mungu, Alikujua tangu ukiwa tumboni kwa mama yako.

Na una amini Mungu aliweka plan ya maisha yako yote kabla hata hujazaliwa?

Sasa kama ni hivyo na una amini hivyo, Hukumu ni ya nini?

ilhali aliye panga "plan" ya jinsi utakavyo ishi ni huyohuyo Mungu.

Sasa huyo Mungu anakuja kuku hukumu kwa kipi?

Wakati yeye mwenyewe ndio master planner wa life lako?
so hakuna cha kumuombea marehemu wala sijui alale pema peponi,hyo haipo.Tengeneza maisha yako,tengeneza mambo ya nyumba yko
 
Back
Top Bottom