Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Our belief chakula cha marehemu ni maombi pia bikra maria alivyo watokea watoto wa fatima alisema tusali rozar na tuwaombee wasio na mwombeziAje mkatoliki mmoja hapa anielezee vizuri kwa bibilia kwanini mnaombea wafu.
bibilia imesema wapi?Our belief chakula cha marehemu ni maombi pia bikra maria alivyo watokea watoto wa fatima alisema tusali rozar na tuwaombee wasio na mwombezi
We mm ubishi siuwezibibilia imesema wapi?
belief, shmelief.
kama siyo Imani yako ni vyema kunyamaza ,kukaa kimya pia ni akili..bibilia imesema wapi?
belief, shmelief.
Raha ya Milele uwape Ee Bwana na Mwanga wa Milele uwaangazie,wapumzike kwa Amani..Amina๐๐๐Tuwaombee waliotutangulia wapendwa wetu hatujui tuendako safari yetu ni moja kila mmoja hajui safari yake itaanza lini na akiwa wapi tuombe rehema kwa Mungu sisi ni wakosefu mda wote
Marehemu wote wapate rehema kwa Mungu wapumzike kwa amani
Hii safari wengi inatuumiza na tunajiuliza tunaenda kukutana na nini? Ila kila mtu huwa na majibu yake mwenye ukweli hakuna tuombe rehema
Kujibu kwa hoja ni akili zaidi, tena nzuri tu.kama siyo Imani yako ni vyema kunyamaza ,kukaa kimya pia ni akili..
Huyo Mungu anashindwaje kukupa hiyo "Rehema" mpaka ulazimike kumuomba?Tuwaombee waliotutangulia wapendwa wetu hatujui tuendako safari yetu ni moja kila mmoja hajui safari yake itaanza lini na akiwa wapi tuombe rehema kwa Mungu sisi ni wakosefu mda wote
Hakuna rehema.Marehemu wote wapate rehema kwa Mungu wapumzike kwa amani
Kwani kabla hujazaliwa ulikutana na nini?Hii safari wengi inatuumiza na tunajiuliza tunaenda kukutana na nini?
Hakuna rehema.Ila kila mtu huwa na majibu yake mwenye ukweli hakuna tuombe rehema
Hili ni jukwaa huru.kama siyo Imani yako ni vyema kunyamaza ,kukaa kimya pia ni akili..
Kwa mtazamo wakoHuyo Mungu anashindwaje kukupa hiyo "Rehema" mpaka ulazimike kumuomba?
Je huyo Mungu hajui wajibu wake wa kutoa hizo "Rehema" kwa kila mtu?
Au mpaka mumkumbushe huyo Mungu?
Kwanza kwa nini huyo Mungu alikuumba uje kuwa mkosefu?
Mungu huyo Alishindwaje kuumba binadamu wasio weza kuwa wakosefu?
Hakuna rehema.
Hakuna Mungu.
Ukishakufa umekufa.
Unaoza na habari yako kwisha.
Kwani kabla hujazaliwa ulikutana na nini?
Kama Hakuna ulicho kutana nacho kabla Hujazaliwa, Vivyo hivyo Ukifa hakuna utakacho kutana nacho.
Hakuna rehema.
Rehema ni illusion.
Mtu akifa anakuwa na raha?Raha ya Milele uwape Ee Bwana na Mwanga wa Milele uwaangazie,wapumzike kwa Amani..Amina๐๐๐
Hata wewe kusema kuna Mungu mtoa rehema ni mtazamo wako.Kwa mtazamo wako
Kwani kunashida?Hata wewe kusema kuna Mungu mtoa rehema ni mtazamo wako.
Wala hakuna ukweli wowote.
Ndio maana bado mna angamia sana licha ya kuomba Rehema za huyo Mungu wenu.
Shida ipo.Kwani kunashida?
Kwahyo ukweli ni upiShida ipo.
Mna amini kuna Mungu anawapa Rehema ila bado mnakufa kama kuku ๐ tu, Sasa kuna Rehema gani hapo?
Kama si mnadanganyana tu?
Nikushauri labda ukawaurize mapadre au papa๐คAje mkatoliki mmoja hapa anielezee vizuri kwa bibilia kwanini mnaombea wafu.
Ukweli ni kwamba.Kwahyo ukweli ni upi
kasome Luka 16:19-31Huyo Mungu anashindwaje kukupa hiyo "Rehema" mpaka ulazimike kumuomba?
Je huyo Mungu hajui wajibu wake wa kutoa hizo "Rehema" kwa kila mtu?
Au mpaka mumkumbushe huyo Mungu?
Kwanza kwa nini huyo Mungu alikuumba uje kuwa mkosefu?
Mungu huyo Alishindwaje kuumba binadamu wasio weza kuwa wakosefu?
Hakuna rehema.
Hakuna Mungu.
Ukishakufa umekufa.
Unaoza na habari yako kwisha.
Kwani kabla hujazaliwa ulikutana na nini?
Kama Hakuna ulicho kutana nacho kabla Hujazaliwa, Vivyo hivyo Ukifa hakuna utakacho kutana nacho.
Hakuna rehema.
Rehema ni illusion.
umri wako ndiyo unaokupa kiburi,muda ukifika kadri unavyokua utakuja kutubu,Bado hujakomaa na hujui unayoyaandika, though kwa sasa unajiona una akili Kweli,unajua kuliko uliowakuta, unajiona critical thinker na argumetor mzuri Kweli kumbe Bado sana...Ukweli ni kwamba.
Hakuna Mungu.
Hakuna Rehema.
Binadamu akifa haendi popote pale, Pia binadamu kabla ya kuzaliwa hayupo na hakuwepo popote pale.
Ukifa unarudi kwenye hali ileile ya mwanzo kabla ya kuzaliwa ya kutokuwepo.
Haukuwepo, ila kwa sasa upo, Ukifa unarudi kwenye hali ileile ya kutokuwepo. Na wengine wata endelea kuwepo.
Haukuwepo>>> Upo>>>Hautakuwepo.
Huu ndio ukweli na uhalisia ulivyo.