Mwibara: Baada ya Tundu Lissu kuzuia njia ili kivuko kisishushe magari na mizigo, azua tafrani baada ya maiti kukwama kwenda kuzikwa. Tazama video

dikteta2020

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2018
Posts
595
Reaction score
3,991
Jana niliweka video humu ikionyesha Tundu Lissu kuzuia njia kwa magari yake ili kivuko kisiweze kushusha abiria na mizigo. Wapo waliosema kuwa nilikuwa nadanganya umma. Haya fuatilieni video hapo chini watu wanalalamika kuwa maiti zao zinachacha kwenye kivuko.

Mbona huyo Lissu hapo haonekani wala hajatajwa hata jina nahao wanaolalamika

Pia yupo askari hapo,kama ameona kiusalama zaidi ni vyema upande mmoja ukazuiwa ili upande mwingine uondoke likowapi tatizo?Na kama ameweza kuzuiya wasafiri wengine mbele ya polisi Vila ridhaa ya polisi sasa hapo nani alaumiwe.

Hivi wewe mleta mada hujawahi kuzuiwa barabarani zaidi ya lisaa ukisubiri msafara wa kiongozi upite?
 
Jana niliweka video humu ikionyesha Tundu Lissu kuzuia njia kwa magari yake ili kivuko kisiweze kushusha abiria na mizigo. Wapo waliosema kuwa nilikuwa nadanganya umma. Haya fuatilieni video hapo chini watu wanalalamika kuwa maiti zao zinachacha kwenye kivuko.

Wanaobeba lawama ni hao wanaodhani kivuko ni chao na kuwa hata wanaweza zuia wengine kukitumia.

Wasinge kuwa wameleta upuuzi wao yote yasingetokea. Hawawezi kukwepa lawama.

Oct 28 hatuwezi kukosa shughuli ya kufanya nao.
 
Jana niliweka video humu ikionyesha Tundu Lissu kuzuia njia kwa magari yake ili kivuko kisiweze kushusha abiria na mizigo. Wapo waliosema kuwa nilikuwa nadanganya umma. Haya fuatilieni video hapo chini watu wanalalamika kuwa maiti zao zinachacha kwenye kivuko.

Kwani wakati hicho kivuko kimezuiliwa kuvuka kwasababu ya lisu kwenda ukerewe wasafiri ambao walitakiwa kwenda ukerewe hawakupata usumbufu?? Mmeliona hilo la kivuko tu kurudi ukerewe? Ulitaka lisu akapaki magari yake wapi? Kwanini walipoona lisu amekaribia kumaliza mkutano wake ndipo wakaliondoa hilo ferry kama siyo roho mbaya tu? Nae alitumia akili kama walizonazo wao
 
Mleta mada anatuonyesha namna janja yao yakutaka kumzuia Mh. Lissu ilivyowageuka kuwa soo kubwa
 
Mbona huyo Lissu hapo haonekani wala hajatajwa hata jina nahao wanaolalamika

Pia yupo askari hapo,kama ameona kiusalama zaidi ni vyema upande mmoja ukazuiwa ili upande mwingine uondoke likowapi tatizo?Na kama ameweza kuzuiya wasafiri wengine mbele ya polisi Vila ridhaa ya polisi sasa hapo nani alaumiwe
Hivi wewe mleta mada hujawahi kuzuiwa barabarani zaidi ya lisaa ukisubiri msafara wa kiongozi upite?
Sio lisaa tu. Hata masaa 5.
 
Jana niliweka video humu ikionyesha Tundu Lissu kuzuia njia kwa magari yake ili kivuko kisiweze kushusha abiria na mizigo. Wapo waliosema kuwa nilikuwa nadanganya umma. Haya fuatilieni video hapo chini watu wanalalamika kuwa maiti zao zinachacha kwenye kivuko.

Utazuiaje kivuko ambacho ni kibovu? Tundu Lissu aliacha magari yake na kuondoka na madereva baada ya kuambiwa kuwa kivuko ni kibovu na hakitafanya kazi siku hiyo. Inaelekea wote waliamini ndio maana wenye mamlaka na kituo walimruhusu aache magari pale. Ama sivyo wangesisitiza abaki angalau dereva mmoja ili ayasogeze kama itakiwa kufanya hivyo. Shida ni kuwa hawakujua Mungu ni wa maujiza na mara baada ya Lissu kuondoka kivuko kikapona.

Amandla....
 
Jana niliweka video humu ikionyesha Tundu Lissu kuzuia njia kwa magari yake ili kivuko kisiweze kushusha abiria na mizigo. Wapo waliosema kuwa nilikuwa nadanganya umma. Haya fuatilieni video hapo chini watu wanalalamika kuwa maiti zao zinachacha kwenye kivuko.

Kati ya maiti na mtu hai yupi anatakiwa apewe kipaumbele? Mkishaua ndo mnamthamini ? Unakuta hata marehem alkufa kwa kukosa huduma halafu unaleta story hapa s n nyie mlitaka kumuua Lisu
 
Jana niliweka video humu ikionyesha Tundu Lissu kuzuia njia kwa magari yake ili kivuko kisiweze kushusha abiria na mizigo. Wapo waliosema kuwa nilikuwa nadanganya umma. Haya fuatilieni video hapo chini watu wanalalamika kuwa maiti zao zinachacha kwenye kivuko.

Amezuiaje wakati walishasema kivuko kibovu hakifanyi kazi ujanja mwingi mbele giza

Sent from my BLL-L22 using JamiiForums mobile app
 
Wewe nu muongo na umetumia nguvu nyingi kuwadanganya watu! Ngoja tukueleze ukweli: Wakati msafara wa Lissu ulipofika Kisorya saa 3.00 asubuhi kivuko kilikuwa Ukerewe na DC Magembe alikizuia kuja Kisorya "Eti ni Kibovu" na ilipofika saa 5.20 asb wapenda UHURU wakajitolewa kuwavusha kwa Mtumbwi wa Injini. Apoanza kuendesha mkutano wake kivuko kikaendelea na shughuli zake tena. Watati akikaribia kuondoka kwenye mkutano, DC akaamuru kivuko kitoke haraka kiende upande wa Kisorya ili Lissu apate adha nyingine. Hivyo kivuko kilipofika kisorya kikiwa na mabasi hayo, wananchi wakaziba njia wakidai "Kivuko hakitaruhusiwa kuteremsha magari kama Tundu Lissu hayumo" Kwamba bila lissu haushushi gari hapa na hivyo walilazimika kurejea ng'ambo ya pili kumchukua Lissu. Nguvu ya Watu ilifanya kazi baada ya UJINGA wa DC kuwachosha.
 
Wanaobeba lawama ni hao wanaodhani kivuko ni chao na kuwa hata wanaweza zuia wengine kukitumia....

Kuzuia kivuko kisa Tundu Lisu... Huo Ni Uoga na dalili za kushindwa mbinu na hoja za kampeni...

CCM kuzuia kivuko kwa maslahi yao sio wanamkomoa TL... Hapo wanatengeneza chuki na raia...
 
Back
Top Bottom