dikteta2020
JF-Expert Member
- Aug 14, 2018
- 595
- 3,991
Walisema hakipoJana niliweka video humu ikionyesha Tundu Lissu kuzuia njia kwa magari yake ili kivuko kisiweze kushusha abiria na mizigo. Wapo waliosema kuwa nilikuwa nadanganya umma. Haya fuatilieni video hapo chini watu wanalalamika kuwa maiti zao zinachacha kwenye kivuko.
Jana niliweka video humu ikionyesha Tundu Lissu kuzuia njia kwa magari yake ili kivuko kisiweze kushusha abiria na mizigo. Wapo waliosema kuwa nilikuwa nadanganya umma. Haya fuatilieni video hapo chini watu wanalalamika kuwa maiti zao zinachacha kwenye kivuko.
Kwani wakati hicho kivuko kimezuiliwa kuvuka kwasababu ya lisu kwenda ukerewe wasafiri ambao walitakiwa kwenda ukerewe hawakupata usumbufu?? Mmeliona hilo la kivuko tu kurudi ukerewe? Ulitaka lisu akapaki magari yake wapi? Kwanini walipoona lisu amekaribia kumaliza mkutano wake ndipo wakaliondoa hilo ferry kama siyo roho mbaya tu? Nae alitumia akili kama walizonazo waoJana niliweka video humu ikionyesha Tundu Lissu kuzuia njia kwa magari yake ili kivuko kisiweze kushusha abiria na mizigo. Wapo waliosema kuwa nilikuwa nadanganya umma. Haya fuatilieni video hapo chini watu wanalalamika kuwa maiti zao zinachacha kwenye kivuko.
Mlalamikaji anajua ilipoHiyo maiti yenyewe iko wapi?
Na ferry imetoka wapi maana ilikuwa imeharibika?
Sio lisaa tu. Hata masaa 5.Mbona huyo Lissu hapo haonekani wala hajatajwa hata jina nahao wanaolalamika
Pia yupo askari hapo,kama ameona kiusalama zaidi ni vyema upande mmoja ukazuiwa ili upande mwingine uondoke likowapi tatizo?Na kama ameweza kuzuiya wasafiri wengine mbele ya polisi Vila ridhaa ya polisi sasa hapo nani alaumiwe
Hivi wewe mleta mada hujawahi kuzuiwa barabarani zaidi ya lisaa ukisubiri msafara wa kiongozi upite?
Utazuiaje kivuko ambacho ni kibovu? Tundu Lissu aliacha magari yake na kuondoka na madereva baada ya kuambiwa kuwa kivuko ni kibovu na hakitafanya kazi siku hiyo. Inaelekea wote waliamini ndio maana wenye mamlaka na kituo walimruhusu aache magari pale. Ama sivyo wangesisitiza abaki angalau dereva mmoja ili ayasogeze kama itakiwa kufanya hivyo. Shida ni kuwa hawakujua Mungu ni wa maujiza na mara baada ya Lissu kuondoka kivuko kikapona.Jana niliweka video humu ikionyesha Tundu Lissu kuzuia njia kwa magari yake ili kivuko kisiweze kushusha abiria na mizigo. Wapo waliosema kuwa nilikuwa nadanganya umma. Haya fuatilieni video hapo chini watu wanalalamika kuwa maiti zao zinachacha kwenye kivuko.
Kati ya maiti na mtu hai yupi anatakiwa apewe kipaumbele? Mkishaua ndo mnamthamini ? Unakuta hata marehem alkufa kwa kukosa huduma halafu unaleta story hapa s n nyie mlitaka kumuua LisuJana niliweka video humu ikionyesha Tundu Lissu kuzuia njia kwa magari yake ili kivuko kisiweze kushusha abiria na mizigo. Wapo waliosema kuwa nilikuwa nadanganya umma. Haya fuatilieni video hapo chini watu wanalalamika kuwa maiti zao zinachacha kwenye kivuko.
Amezuiaje wakati walishasema kivuko kibovu hakifanyi kazi ujanja mwingi mbele gizaJana niliweka video humu ikionyesha Tundu Lissu kuzuia njia kwa magari yake ili kivuko kisiweze kushusha abiria na mizigo. Wapo waliosema kuwa nilikuwa nadanganya umma. Haya fuatilieni video hapo chini watu wanalalamika kuwa maiti zao zinachacha kwenye kivuko.
Wanaobeba lawama ni hao wanaodhani kivuko ni chao na kuwa hata wanaweza zuia wengine kukitumia....
Na tutaifanya kwa hasira kwelikweli!Oct 28 hatuwezi kukosa shughuli ya kufanya nao.