Mwibara: Baada ya Tundu Lissu kuzuia njia ili kivuko kisishushe magari na mizigo, azua tafrani baada ya maiti kukwama kwenda kuzikwa. Tazama video

Asante sana Jarateng kutupasha habari kwa ufasaha kabisa ya nini hasa kilichotokea.
Huo ndio uzalendo unaotakiwa
 
Shukeni msukumeno kwa meno amkutumwa kupanda kivuko kibovu
 
Pamoja na kuzuia pantoni still injili ya ukombozi imefika ukerewe, wakati wwe una mawazo ya miaka ya 70 wenzio Wana global vision
 
Kivuko kikiwa kibovu unatakiwa utoe magari yako .

Halafu aliondokaje na madereva badala ya wao kubaki na magari yao?
 
Kivuko kikiwa kibovu unatakiwa utoe magari yako .

Halafu aliondokaje na madereva badala ya wao kubaki na magari yao?
Kila mfanyalo linakurudieni mara 7,kivuko kibovu baada ya Lisu kukifata ukerewe kivuko kimepona kimemkimbia lisu ukerewe kirudi kupaki alipotoka Lisu kiendelee kuwa kibovu,aisee mtakufa kwa roho mbaya zenu
 
Jarateng wewe ni mwandishi unayeandika ukweli siku zote bila unafiki wala kujikomba.
Sasa nimeshaona ni kwa nini UTPC walikuwa wanakupiga vita chini kwa chini ili usifike wakati walao ukawa mjumbe wa Bodi au Rais wa UTPC kupitia kile chama chenu cha mkoa huko Mara au Mwanza kama sikosei na kumuweka puppet wao mjanja mjanja.
Nilishiriki nawe mkutano mkuu mmoja niliona ulivyo kuwa na hoja imara na jinsi wadhaniao UTPC ni mali yao walivyokuwa wana haha na kuunda mbinu.
Anyway, hii ni mada tofauti lakini waandishi mkiwa wakweli mtasaidia sana kuondoa huu upotoshaji. Wahariri wengi hapa Dar wanabeba na kuchakata habari hata za uongo toka mikoani kumbe waandishi huko wako kwenye payroll za ofisi za RC au CCM huko huko mikoani.
Lissu ana habari nyingi sana za kuvutia lakini waandishi hawaziandiki tokea huko.
 
Mleta mada hapo wanaolaumiwa ni ccm na Makufuli wao
 
Delete ccm Oct 28
 
Kivuko kikiwa kibovu unatakiwa utoe magari yako .

Halafu aliondokaje na madereva badala ya wao kubaki na magari yao?

Magari yalikuwa yanachunga nafasi yao kwenye foleni ili kivuko kikipona kesho yake wasianzie nyuma. Madereva walienda kula na kupumzika wakingoja kivuko kitengemae. Ni kama wakati ule tulipokuwa kuna migao ya chakula na nguo, watu walikuwa wanaacha kajiwe au alama nyingine kwenye nafasi yake halafu wanaenda kufanya shughuli nyingine. Au ukienda stendi ukaambiwa basi ulilokatia tiketi ni bovu lakini wanategemea litatengemaa baada ya muda fulani. Ukisikia hivyo unakabidhi mizigo yako kwa wahusika halafu unaenda kufanya shughuli nyingine. Madereva waliacha magari yao chini ya ulinzi wa mamlaka ya kituo cha kivuko.

Amandla...
 
hili shamba tu lina tumalizia mb
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…