CONTROLA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2019
- 7,001
- 23,449
Acha ile kitu kunyooshewa vidole na kila mtu "acha kabisa"
nilishawahi kugoma kurudi shule live live yani, na home walinihamisha ile shule
kuandamwa na skendo halafu eti familia tu ndo iko upande wako ila wengine woteee
hawaelewi somo,ngumu ngumu ngumu sana sitamani yanikute hayo aseee.
Kadada ka watu kametangulia "sad"