Mwigizaji maarufu Goo Hara wa Korea Kusini, Kajiua kwa kusemwa sana na vyombo vya habari

Mwigizaji maarufu Goo Hara wa Korea Kusini, Kajiua kwa kusemwa sana na vyombo vya habari

Kibongo bongo mastaa wanajichafua ili wawe maarufu!
Ila korea staa akichafuka anaona hana thamani. (Nimewaza tuu)
Yah nilikundua Hilo pia baada ya kuangalia drama ya my love from the star.
 
Wabongo unamsema mwwnzako ukitoka na wao wanakusema ukifika huko unakutana na uliekua unamsema unaanz kuwasema uliokuwa nao but still maisha yanaendelea yani kuzaliwa Africa raha sana tumepewa nywele ngumu kama steel wire na mioyo yetu iko hivyohivyo. Kama Bashite angekua huko korea angekua hayati siku nyingi
 
Au anatafuta unaarufu leta chanzo cha kuaminika hapa.

Kama ni kweli ilikua rahisi kwake kuachana na mitandao ya kijamii kuliko ilivyokuwa rahisi kwake kupitisha kamba ya kujinyongea shingoni
Hawa jamaa naona wana mioyo yao naona ni ya tofauti kujiuwa ni dakika
 
Back
Top Bottom