Huko ni shida hata kwenye drama zao huigiza kama uko kwenye bad side ya fans unaweza rushiwa hata mawe. Bullying ya huku ni maneno zaid huko kwao mpaka vitendo. Ni bora kuwa famous Africa. Kuliko kuwa famous. Huko duniani
Sema tu huyu dada apendi attention ya media hiv kwa mfano angekuwa anasemwa Kama wema sepetu huku bongo angefikisha hata mwezi kwel?Acha ile kitu kunyooshewa vidole na kila mtu "acha kabisa"
nilishawahi kugoma kurudi shule live live yani, na home walinihamisha ile shule
kuandamwa na skendo halafu eti familia tu ndo iko upande wako ila wengine woteee
hawaelewi somo,ngumu ngumu ngumu sana sitamani yanikute hayo aseee.
Kadada ka watu kametangulia "sad"
Wanasema kifo hakikosi sababu,sisi tunasema tu ilaSema tu huyu dada apendi attention ya media hiv kwa mfano angekuwa anasemwa Kama wema sepetu huku bongo angefikisha hata mwezi kwel?
Wazazi wake na marafiki zake wakaribu ndio waliotoa taarifa hizo pia hata background ya huyo dada apandi Sana media na pia ana maisha ya private Sana.Wanasema kifo hakikosi sababu,sisi tunasema tu ila
yeye mwenyewe ukute hata hajajitoa roho kwa hiki tukifkiriacho
moyo wa mtu una siri nyingi sana ambazo si zote watu tunazitoa nnje.
Possibly alikua na trauma best yake alijiua mwezi uliopitaHakuwa na mpenzi?
Daah nimechekaWakorea & wajapan ni kama wahehe
Tumkomalie yule mchaga mfupi aliemsababishia Dejavu life bann ajiue na yeyeThis is a type of womens i date damn RIP beautiful
Kwa taarifa yako Depression imekamata vijana wengi sana Africa, Kwa africa mashariki Tanzania ndo inaongoza.Moja ya bahati ya kuwa mwafrika ni kwamba hatupatagi depression. Huyu dada kajiua kisa depression
Proud African
Ni kweli kabisa hapo angekua domo anasemwa ndo angekunya hata hadharani ili aendelee kuandikwaBongo tuna ulimwengu wa pekee yetu
Ningekuelewa Kama ungewasema watu Kama gigy money,Amber lulu,menina ndio ningekuelewa ambao usanii wao umetokana na Kiki za kipuuzi.Ni kweli kabisa hapo angekua domo anasemwa ndo angekunya hata hadharani ili aendelee kuandikwa
Anawekwa kati na Carrymastory, Jumalokole tu..Week tu mnazika 😂😂😂!!!Huyu angekuwa bongo alafu anasemwa Kama wema sepetu hata mwezi asingefikisha.