Mwigizaji Nguli wa India John Abraham kuwasili Tanzania

Ukweli ni kuwa sasa hivi Bollywood wamevamia hata Wazungu. Wanajiunguza ngozi wawe weusi weusi kidogo na kupaka nywele rangi nyeusi na ukishafanya Make up kidogo basi umeshakuwa Mhindi.

Nilishaona Mdada kutoka Ulaya akihojiwa na akakiri hata lugha hajailewa vizuri ila kwa sababu ana FIGURE wanayopenda Wahindi basi wao kwao ni BOMBA.
Hawa ndo generation ya sasa ya Indian actors....
wengine wanzaliwa UK na Canada...na film wanaenda ku shoot Australia na USA
a lot has changed....
 


Shida inaanzia hapo
tofauti ya filam za kihindi na kizungu inazidi kupotea
 
Kichwa cha habari kina mushkeli kidogo andika kuwasili badala ya awasili
 
we ndio kilaaza kabisa , nimesema anakuja mwakani kushuti baadhi ya vipande ila movie yenyewe inatarajiwa kutoka 2018 mwanzoni , soma vizuri sio
unakurupuka
Nisome tena inisaidie nini hata huyo msanii ni kwa ajili yenu vizazi vipya
 
Thubutuu, msanii gani kwetu? Unawajua wahindi unawasikia? Hawezi kumpaisha mtu mweusi kwenye cinema yake hata siku moja, anakuja kwa maslahi yake tu

Wakati largest population ya india ni weusi zaidi yangu na wewe...weupe ni upande wa kaskazini tu tena kwenye jimbo moja tu la Gujarat...ni weupe na exclusive,ni wachache mno.

India is a black country just like sub saharan africa,not less.
 
Wakati largest population ya india ni weusi zaidi yangu na wewe...weupe ni upande wa kaskazini tu tena kwenye jimbo moja tu la Gujarat...ni weupe na exclusive,ni wachache mno.

India is a black country just like sub saharan africa,not less.
Nenda na hizo tathmini zako India ukirudi niletee majibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…