Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi zaidi ya Mitun, Amita, na Govinda....sijui kabisa hao wengine.
Nina miaka sijatizama hizo muvi.
Hawa ndo generation ya sasa ya Indian actors....
wengine wanzaliwa UK na Canada...na film wanaenda ku shoot Australia na USA
a lot has changed....
Ukweli ni kuwa sasa hivi Bollywood wamevamia hata Wazungu. Wanajiunguza ngozi wawe weusi weusi kidogo na kupaka nywele rangi nyeusi na ukishafanya Make up kidogo basi umeshakuwa Mhindi.
Nilishaona Mdada kutoka Ulaya akihojiwa na akakiri hata lugha hajailewa vizuri ila kwa sababu ana FIGURE wanayopenda Wahindi basi wao kwao ni BOMBA.
Unamchukia kwa sababu za kisiasa.Stev nyerere yeye anajua ukuwadi tu
Kichwa cha habari kina mushkeli kidogo andika kuwasili badala ya awasiliMuigizaji machachali wa sinema za kihindi za mapigano pamoja na mapenzi John Abraham atangaza kuwa anatarajia kuja nchini mwakani kwa ajili ya kucheza baadhi ya vipande katika movie mpya inayotarajiwa kuingia sokoni mwanzoni mwa mwaka 2018
Kazi imebaki kwa wasanii wetu wa Tanzania kutumia nafasi hii adimu kujitangaza kimataifa
View attachment 395634
View attachment 395635
View attachment 395636
View attachment 395637
Akaribishwe IKULU ili kesho mpate vya kuandika siyo...Nchi zingine hadi Ikulu wanamkaribisha....sisi tutajifanya kama vile sio muhimu
Nisome tena inisaidie nini hata huyo msanii ni kwa ajili yenu vizazi vipyawe ndio kilaaza kabisa , nimesema anakuja mwakani kushuti baadhi ya vipande ila movie yenyewe inatarajiwa kutoka 2018 mwanzoni , soma vizuri sio
unakurupuka
katrina kaif alikuwa wa salman khan bana ,inamana nae john nae kaweka hapo hapo duuhNnavyompenda Hugo kaka Ila kiwembe balaa,katoka na Bipasha Basu,Katrina Kaif yaani
Katrina alivyotoka kwa Salmaan ndo akaenda kwa John Ila pia katoka na Ranbir Kapoor na wote hayupo nao!katrina kaif alikuwa wa salman khan bana ,inamana nae john nae kaweka hapo hapo duuh
sasa hivi katrina yupo na nan?? alaf nilisikia aliolewa yuleKatrina alivyotoka kwa Salmaan ndo akaenda kwa John Ila pia katoka na Ranbir Kapoor na wote hayupo nao!
hajaolewa amebroke na Ranbeer toka mwanzo wa mwakasasa hivi katrina yupo na nan?? alaf nilisikia aliolewa yule
Thubutuu, msanii gani kwetu? Unawajua wahindi unawasikia? Hawezi kumpaisha mtu mweusi kwenye cinema yake hata siku moja, anakuja kwa maslahi yake tu
Nenda na hizo tathmini zako India ukirudi niletee majibuWakati largest population ya india ni weusi zaidi yangu na wewe...weupe ni upande wa kaskazini tu tena kwenye jimbo moja tu la Gujarat...ni weupe na exclusive,ni wachache mno.
India is a black country just like sub saharan africa,not less.
Wewe ukiwa unasoma bandiko huwa unasoma ukiwaza nini labda?Dah! Wema yuko Arusha amekosa fursa ya kupiga naye picha