brigedia mafia
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 2,260
- 2,279
Muigizaji machachali wa sinema za kihindi za mapigano pamoja na mapenzi John Abraham atangaza kuwa anatarajia kuja nchini mwakani kwa ajili ya kucheza baadhi ya vipande katika movie mpya inayotarajiwa kuingia sokoni mwanzoni mwa mwaka 2018
Kazi imebaki kwa wasanii wetu wa Tanzania kutumia nafasi hii adimu kujitangaza kimataifa
Kazi imebaki kwa wasanii wetu wa Tanzania kutumia nafasi hii adimu kujitangaza kimataifa