Mwigizaji 'Sabela' na Mtunzi wa Filamu ya Sarafina afariki kwenye ajali ya Gari

Mwigizaji 'Sabela' na Mtunzi wa Filamu ya Sarafina afariki kwenye ajali ya Gari

Neria na Saragina ndio filamu zangu za kwanza kuzingalia nikiwa na akili timamu na zilinihudhunisha sana maana nilihisi ni ukweli kumbe uigizaji tu.
Ukiacha neria kuna ile nyingine ya yellow pages sijui ilikuwa inaitwaje, ya mchizi anacheza boli
 
Classic Africa movies to watch.
Sarafina
Blood diamond
Sometimes in April
Hotel Rwanda
Tears of the sun
Tausi
Isidingo ( at least you should be aware of)
Nsyuka
True love ( Genevieve na yule jamaa white wa Nigeria)
Hapo true love ndio imeni knock out story yake,zingine zotee fresh kabisa
 
Movies za zamani zilikuwa zinagusa sana hasa za hapa Africa
Yellow card
Neria
Sarafina
The gods must be crazy
Crazy safari
Deadly voyage
Consequences

Daah watu wametoka mbali
 
Back
Top Bottom