TANZIA Mwigiziaji Mkongwe, Mr. Ibu afariki dunia

TANZIA Mwigiziaji Mkongwe, Mr. Ibu afariki dunia

Tuchange rambirambi zetu , waziri wa michezo na utamaduni atuwasilishie rambirambi zetu na pole zetu. Huyu ni mtu aliyetengeneza happyness kwa Taifa letu. Hivyo waziri apande ndege mara Moja awasilishe salamu za Watanzania ambao tuliguzwa na burudani zake.Huyu na Omuosofia walikuwa ni kilele Cha burudani duniani
 
Back
Top Bottom