Mwigulu adai wananchi ndio walioshauri tuweke tozo

Viongozi wote serikalini hawa amini uwepo wa Mungu, ingekuwa wana amini wasingekuwa makatili kiasi hicho.
 
Hili kundi la.mchwa linatakiwa kupumzishwa haraka sana kuanzia October na kumalizana nao mwakani!! Wametuchoka sana.
 
Ama hakika yule binti aliimba " wanatuona nyani" wakamtia ganzii wee lakini huu si unyani huu wanatufanyia ajira hakuna,huduma muhimu za kijamii mbaya mno, mashirika ya umma yanakufa, ufisadi na wizi umeshamiri, mmonyoko wa maadili unatisha ( ubakaji na ulawiti) lakini yote hayo hawajayaona ila kwenye kuomba kuongeza tozo chaaaap .WALAAANIWE
 
Wananchi wa wapi waliokubali hili?

#KataaMachawa
#KataaUozo2025

Mkuu kuna hashtag mpya ya kutembeza JF Erythrocyte Mshana Jr
 
Hao wananchi waliyasema hayo kupitia kura ya maoni au utaatibu gani ulitumika kupata hayo maoni ya watanzania? Viongozi acheni kutulisha maneno.
 
Na je kama walisema wanazitaka mkaweka, basi tukisema hatuzitakitazitoa kesho?
 
Hayo maoni ya wananchi waliyakusanya lini na kwa njia gani?

Aache uongo, hizo tozo zimepitishwa na lile bunge la CCM lisiloweza kuihoji chochote serikali kisha Rais akaweka saini.

Si ndio hapo aache uongo wake kwa kumbukumbu rasmi ilo liwazo alilitoaga mbunge wa ilala hukohuko bungeni naye akalibeba watu wanalilamikia yeye anaongea shudu au anataka na sisi hadi tuandamane kama kenya ndio aliondoe
 
Wananchi gani? huyu jamaa hatufai hata kidogo.
 
Naibu spika Zungu ndiye aliyekuja na hii idea.

Huyu mjinga asituone mapoyoyo.

Tozo ni ukatili mwingine wa serikali dhidi ya raia. Kampeni zijazo mtalia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…