Mwigulu adai wananchi ndio walioshauri tuweke tozo

Mwigulu adai wananchi ndio walioshauri tuweke tozo

Tozo ni ushauri na matakwa ya wananchi, wameyapokea na kuyafanyia kazi. Tunapigwa tozo kweli kweli. Tuseme sawa serikali yetu ni sikivu na inafanyia kazi maoni na matakwa ya wananchi.

Vipi kuhusu kikokotoo?? Je, wananchi pia wanakitaka?? Je siku zote wamekua wakiwasifia kuwa nacho ni kizuri?? Hamsikii kelele za watumishi juu ya kikokotoo?? Mwigulu acha kulisha wananchi maneno, kumbuka kuna kuulizwa kesho kuhusu uchunga wako mbele ya Mola wako.
 
Huyu bungeni walimuumbua juzijuzi alipotaka kuweka Kodi kwa wakulima akasema bunge limepitisha mpaka spika akashituka.
 
Ila hao wabunge huwa hawakatwi Kodi ya namna yoyote ile. Na baada ya miaka mitano wanapewa mamilioni yao kamili kamili. Shwain
Waambie ukweli Hawa machawa hawaelewi kitu chochote kabisa!
 
Ila hao wabunge huwa hawakatwi Kodi ya namna yoyote ile. Na baada ya miaka mitano wanapewa mamilioni yao kamili kamili. Shwain
Ndo ivyo ata juzi ,alisikika mbunge anashauri kwa madaa kabisa bungeni kwa kila lain ya sim ikatwe pesa ya kujenga barabara , bila kujua wapo wazee wetu huko vijijini wapo na sim ili tu kupigiwa na kutumiwa vijisent vidogo kwa ajili ya kujikim

Nchi hii ishakua ngum sana , yani hakuna huduma haina tozo , mshahara wa mtumishi ndo haswa unabagzwa kwa kiwango cha ajabu, alafu ukiuliza pesa zinaenda wapi hakuna wa kukupa majibu ,yani huku tozo ,kule kukopa .

Nafikili 2025 kama uchaguzi ukifanyika ipo sababu ya kufanya jambo bila kujali maumivu yake kwa mtu mmoja mmoja ila ni lazima ccm kuondoka
 
Katika jamaa wanachukiwa na kuboa vibaya mno huyo yumo kabisa ,
Sijui anatuonaje yani walikuwepo kina Chenge wanaiba mpaka pipi leo hii wako wapi hata kama bado wana hela ila huyu jamaa daah
Hata sura yake tu inaonyesha hana akili
 
Kumbe wakati Kuna watanzania Kila siku wanalalamika kuwa tozo zimezidi,wapo watanzania wengine wanaozunguka kwenda kwa Waziri wa fedha kuomba Serikali iongeze TOZO!!??

View attachment 3022320

Lucas Mwashambwa na johnthebaptist lazima bila shaka watakuwa wanahusika kutaka tozo ziongezwe...😂🤣😛😆😃🤚🔥
Yaani wanacho kila kitu cha kufanya utafiti Nchi nzima kujua Wananchi wanalalamika kuhusu nini lakini badala yake wanawasikiliza watu wawili watatu wanaokwenda kujipendekeza kwa Waziri kwamba Tozo ziongezwe na yeye anawaamini wale Chawa 😳🙄

Hatari sana 🙄
 
Tusiumize kichwa raia wenzangu,
'Wananchi' ni neno la fumbo katumia.

Wazo la tozo liliasisiwa Bungeni na Zungu siku hizo hajawa hata naibu spika na kusapotiwa na Rtd Spika Ndugai.

Fuatilie clips zipo ndugu zangu.
Wazo la TOZO lilimpaisha Zungu mpaka akawa Naibu Spika.

Watu wa Ilala ndio wa kulaumiwa maana huyu ndiye mbunge waliomchagua wao
 
Mkoa wa singida ni mkoa wa mwisho kabisa kuzalisha Pato la taifa,.

Waziri wa fedha kutokea huko tutarajie nini!!

Kule kwao ukichora jiwe jina lako unaomba uwe Rais.
 
Mwigulu uchumi kila kukicha unazidi kushuka inflation rate inazidi kupanda kaamua mzigo awatupie wananchi
Ifike sehemu hizi nafasi za kupendeleana zifutwe kwenye katiba ili tupate watu wazuri watakao fanya interview na kuwa tumikia wananchi na siyo aliyekuteua
 
Awe specific, ni sauti ya wananchi wenyekuongea na kusikika, otherwise we are doomed.
 
Back
Top Bottom