GE2025 Mwigulu aenda kuzisaka Kura za CCM kitongoji kwa kitongoji kwa Baiskeli

GE2025 Mwigulu aenda kuzisaka Kura za CCM kitongoji kwa kitongoji kwa Baiskeli

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mgombea wa Ubunge Jimbo la Iramba Mashariki kupitia CCM, Mwigulu Nchemba, ameendelea na maigizo yao CCM kwa wananchi baada ya kupaki V8 yake na kutumia baiskeli kwenye kampeni, akizisaka Kura za CCM kitongoji kwa kitongoji.

Sijui hawa Watu huwa wanawachukuliaje Wananchi Aise!

 
Mwigulu ni mtu wa watu sana namfahamu tangu 2015.
 
Yupo kwenye mazoezi ya bonanza baada ya mwezi mmoja anarudi kwenye V8 yake
 
Kwamba barabara ni mbovu ? (Kama ndio kwanini hakutengeneza)?
Au anafanya mazoezi ?
Sio huyu aliyekuwa anasema kipimo cha Uchumi kukua ni Magari number E kuongezeka ?!!! Sasa kwanini asiendelee kuishi Imani yake ? Na kuwaonyesha hao wabangaizaji wenye njaa ni vipi they are better off
 
Mwigulu ni mtu wa watu sana namfahamu tangu 2015.
Mwigilu huyu
Wa mabomu pale Arusha, roho zikapotea.
Wa uchaguzi mdogo igunga, roho zikapotea,
Wa ugaidi wa Lwakatare na ushahidi mpaka mbinguni,.....
MWIGILU NI WA HOVYO.......
 
Labda kupigia picha ila kwa hizo hela za kifisaidi alizojaza tumboni hawezi kuendesha baiskeli umbali hata wa kilometa 1 lazima presha ipande
 
Mgombea wa Ubunge Jimbo la Iramba Mashariki kupitia CCM, Mwigulu Nchemba, ameendelea na maigizo yao CCM kwa wananchi baada ya kupaki V8 yake na kutumia baiskeli kwenye kampeni, akizisaka Kura za CCM kitongoji kwa kitongoji.

Sijui hawa Watu huwa wanawachukuliaje Wananchi Aise!

Mocking wananchi wenye hali za chini.
 
Back
Top Bottom