Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mwigilu huyuMwigulu ni mtu wa watu sana namfahamu tangu 2015.
Mocking wananchi wenye hali za chini.Mgombea wa Ubunge Jimbo la Iramba Mashariki kupitia CCM, Mwigulu Nchemba, ameendelea na maigizo yao CCM kwa wananchi baada ya kupaki V8 yake na kutumia baiskeli kwenye kampeni, akizisaka Kura za CCM kitongoji kwa kitongoji.
Sijui hawa Watu huwa wanawachukuliaje Wananchi Aise!