Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
SpinningWaziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka wananchi kutopata hofu kuhusu deni la Taifa pale linapotangazwa, kwani deni hilo lina sehemu kubwa inayoenda kwenye upande wa kampuni binafsi na wala si Serikali inayotakiwa kulipa.
Dkt. Nchemba amesema hayo bungeni jijini Dodoma wakati akihitimisha mjadala wa bajeti kuu ya Serikali ambapo amesema kuna hoja mbili ambazo wananchi wanapaswa kuzifahamu ambazo ni suala la deni la Serikali na deni la Taifa.
Amesema deni la Taifa ni deni linalohusisha deni la Serikali pamoja na deni la sekta binafsi na pale linapokuwa halina tafsiri mbaya kutokana na baadhi ya kampuni binafsi hukopa kutokana na kutokuwa na mitaji ambapo mkopo huo huingizwa kwenye deni la Taifa.
"Wananchi hawahitaji kushtuka kuhusu habari ya deni la Taifa sababu ya sehemu kubwa inaenda kwenye upande wa makampuni binafsi na wala si Serikali inayotakiwa kulipa".
Aidha, amesema kwa upande wa deni la Serikali ni deni linaloangaliwa kwa kuhusianisha na mapato ya Serikali ambapo Serikali hutumia utaratibu wa kukopa ili kuharakisha utekelezaji wa miradi ambapo kinachoitofautisha Tanzania na nchi nyingine kupewa kipaumbele cha kukopa ni nidhamu ya matumizi ya fedha hizo ambapo nchi nyingine hukosa nidhamu hiyo na kusababisha kuzuiwa kupata mikopo hiyo.
View attachment 3381354
Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka wananchi kutopata hofu kuhusu deni la Taifa pale linapotangazwa, kwani deni hilo lina sehemu kubwa inayoenda kwenye upande wa kampuni binafsi na wala si Serikali inayotakiwa kulipa.
Dkt. Nchemba amesema hayo bungeni jijini Dodoma wakati akihitimisha mjadala wa bajeti kuu ya Serikali ambapo amesema kuna hoja mbili ambazo wananchi wanapaswa kuzifahamu ambazo ni suala la deni la Serikali na deni la Taifa.
Amesema deni la Taifa ni deni linalohusisha deni la Serikali pamoja na deni la sekta binafsi na pale linapokuwa halina tafsiri mbaya kutokana na baadhi ya kampuni binafsi hukopa kutokana na kutokuwa na mitaji ambapo mkopo huo huingizwa kwenye deni la Taifa.
"Wananchi hawahitaji kushtuka kuhusu habari ya deni la Taifa sababu ya sehemu kubwa inaenda kwenye upande wa makampuni binafsi na wala si Serikali inayotakiwa kulipa".
Aidha, amesema kwa upande wa deni la Serikali ni deni linaloangaliwa kwa kuhusianisha na mapato ya Serikali ambapo Serikali hutumia utaratibu wa kukopa ili kuharakisha utekelezaji wa miradi ambapo kinachoitofautisha Tanzania na nchi nyingine kupewa kipaumbele cha kukopa ni nidhamu ya matumizi ya fedha hizo ambapo nchi nyingine hukosa nidhamu hiyo na kusababisha kuzuiwa kupata mikopo hiyo.
View attachment 3381354
Una akili sana 😂😂😂Kama serikali ni mdhamini wa madeni ya Kampuni binafsi hilo ni deni lake....!
Hapo tafsiri ni nini?Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka wananchi kutopata hofu kuhusu deni la Taifa pale linapotangazwa, kwani deni hilo lina sehemu kubwa inayoenda kwenye upande wa kampuni binafsi na wala si Serikali inayotakiwa kulipa.
Dkt. Nchemba amesema hayo bungeni jijini Dodoma wakati akihitimisha mjadala wa bajeti kuu ya Serikali ambapo amesema kuna hoja mbili ambazo wananchi wanapaswa kuzifahamu ambazo ni suala la deni la Serikali na deni la Taifa.
Amesema deni la Taifa ni deni linalohusisha deni la Serikali pamoja na deni la sekta binafsi na pale linapokuwa halina tafsiri mbaya kutokana na baadhi ya kampuni binafsi hukopa kutokana na kutokuwa na mitaji ambapo mkopo huo huingizwa kwenye deni la Taifa.
"Wananchi hawahitaji kushtuka kuhusu habari ya deni la Taifa sababu ya sehemu kubwa inaenda kwenye upande wa makampuni binafsi na wala si Serikali inayotakiwa kulipa".
Aidha, amesema kwa upande wa deni la Serikali ni deni linaloangaliwa kwa kuhusianisha na mapato ya Serikali ambapo Serikali hutumia utaratibu wa kukopa ili kuharakisha utekelezaji wa miradi ambapo kinachoitofautisha Tanzania na nchi nyingine kupewa kipaumbele cha kukopa ni nidhamu ya matumizi ya fedha hizo ambapo nchi nyingine hukosa nidhamu hiyo na kusababisha kuzuiwa kupata mikopo hiyo.
View attachment 3381354
Zipo nyingi tuKampuni gani zinaenda kukopa hazina mtaji? TANZANIA hii
kinachoitofautisha Tanzania na nchi nyingine kupewa kipaumbele cha kukopa ni nidhamu ya matumizi ya fedha hizo ambapo nchi nyingine hukosa nidhamu hiyo
Kampuni binafsi ikikopa nje kama yenyewe hilo ni deni la taifa Mwigulu yuko sahihiHapo tafsiri ni nini?
Kama kweli Private company imekopa kama yenyewe kwa nini liwe deni la Taifa? Kama kampuni binafsi imekopa kwa Guarantee ya Bank kuu basi hilo ni Deni la Taifa-na ni la serikali. Bank iki-guarantee basi ni deni la serikali, Bank kuu ni ya serikali. Hapo inawezekana wanatumia Kampuni zao private wanakopa-kwa ktumia guarantee ya Bank Kuu yetu; kwa hiyo Mwigulu katufumbua macho.
Kwa hiyo deni la mama Ni T ngapi?Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka wananchi kutopata hofu kuhusu deni la Taifa pale linapotangazwa, kwani deni hilo lina sehemu kubwa inayoenda kwenye upande wa kampuni binafsi na wala si Serikali inayotakiwa kulipa.
Dkt. Nchemba amesema hayo bungeni jijini Dodoma wakati akihitimisha mjadala wa bajeti kuu ya Serikali ambapo amesema kuna hoja mbili ambazo wananchi wanapaswa kuzifahamu ambazo ni suala la deni la Serikali na deni la Taifa.
Amesema deni la Taifa ni deni linalohusisha deni la Serikali pamoja na deni la sekta binafsi na pale linapokuwa halina tafsiri mbaya kutokana na baadhi ya kampuni binafsi hukopa kutokana na kutokuwa na mitaji ambapo mkopo huo huingizwa kwenye deni la Taifa.
"Wananchi hawahitaji kushtuka kuhusu habari ya deni la Taifa sababu ya sehemu kubwa inaenda kwenye upande wa makampuni binafsi na wala si Serikali inayotakiwa kulipa".
Aidha, amesema kwa upande wa deni la Serikali ni deni linaloangaliwa kwa kuhusianisha na mapato ya Serikali ambapo Serikali hutumia utaratibu wa kukopa ili kuharakisha utekelezaji wa miradi ambapo kinachoitofautisha Tanzania na nchi nyingine kupewa kipaumbele cha kukopa ni nidhamu ya matumizi ya fedha hizo ambapo nchi nyingine hukosa nidhamu hiyo na kusababisha kuzuiwa kupata mikopo hiyo.
View attachment 3381354
mbona limeongezela ghafla awamu ya chura kiziwi?Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka wananchi kutopata hofu kuhusu deni la Taifa pale linapotangazwa, kwani deni hilo lina sehemu kubwa inayoenda kwenye upande wa kampuni binafsi na wala si Serikali inayotakiwa kulipa.
Dkt. Nchemba amesema hayo bungeni jijini Dodoma wakati akihitimisha mjadala wa bajeti kuu ya Serikali ambapo amesema kuna hoja mbili ambazo wananchi wanapaswa kuzifahamu ambazo ni suala la deni la Serikali na deni la Taifa.
Amesema deni la Taifa ni deni linalohusisha deni la Serikali pamoja na deni la sekta binafsi na pale linapokuwa halina tafsiri mbaya kutokana na baadhi ya kampuni binafsi hukopa kutokana na kutokuwa na mitaji ambapo mkopo huo huingizwa kwenye deni la Taifa.
"Wananchi hawahitaji kushtuka kuhusu habari ya deni la Taifa sababu ya sehemu kubwa inaenda kwenye upande wa makampuni binafsi na wala si Serikali inayotakiwa kulipa".
Aidha, amesema kwa upande wa deni la Serikali ni deni linaloangaliwa kwa kuhusianisha na mapato ya Serikali ambapo Serikali hutumia utaratibu wa kukopa ili kuharakisha utekelezaji wa miradi ambapo kinachoitofautisha Tanzania na nchi nyingine kupewa kipaumbele cha kukopa ni nidhamu ya matumizi ya fedha hizo ambapo nchi nyingine hukosa nidhamu hiyo na kusababisha kuzuiwa kupata mikopo hiyo.
View attachment 3381354
Kampuni binafsi ikikopa nje kama yenyewe hilo ni deni la taifa Mwigulu yuko sahihi
Ila Sidhani Tanzania ina kampuni yenye uwezo wa kukopa nje “ kimkataba” 😂