Mwigulu afafanua utofauti wa deni la Serikali na deni la Taifa

Mwigulu afafanua utofauti wa deni la Serikali na deni la Taifa

Trilioni 50 ndani ya miaka minne! Hii Mwigulu bado inahitaji maelezo manake haijawahi tokea tangu uhuru wa mchongo
 
Huyu mtu ni mjinga haswa, kwahiyo kipindi cha awamu ya kwanza mpka 5 watu binafsi walikuwa hawakopi? awe list ya watu binafsi waliokopa na serikali pia
 
Hivi waziri wa fedha ndiye minister of finance au ni minister of money!?
Hivi hii ndio nafasi ile ile aliyohudumu Cleopa Msuya, Mbilinyi nk!?
Mbali na kuweka sahihi kwenye noti kazi zao zingine ni zipi?
Msaada tafadhali
Huyu ni tapeli na mwizi mkubwa
 
Hivi hawa jamaa wanatuonaje....ujue hawa jamaa watakuwa wanaona sisi ni kenge kweli.....nidhamu ipi tz iliyonayo juu ya mikopo.....hivyo vitu wamesema wamefanya na hyo mikopo ni vtu vilpaswa vifanyike 20yrs ago...sisi sio kenge,tunajua mikopo wanaitumia kwa maslah yao na familia zao...ndo hyo hyo wanatumia kuumiza wananchi wakosoaj
 
Back
Top Bottom