anguko haliko mbaliSamuya na kundi lake kila siku wanatengeneza maadui wapya
SMie sio shabiki wa Mwigulu, lakini, sijaelewa. Kama inajulikana video ilitengenezwa na AI, kwa nini wamtake ajiuzulu?Mapya yameibuka katika sakata la video inayodaiwa kutengenezwa ili kumshinikiza Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, kujiuzulu. Anadaiwa kuwataka walioitengeneza waache kumtishia kuachia video nyingine na badala yake wamlete hata mwanamke ambaye picha yake inadaiwa kutumika kutengeneza video hizo, akisisitiza kuwa hatajiuzulu.
Kwa mujibu wa Mange, video hiyo ilitengenezwa kwa kutumia AI kwa lengo la kumwondoa Mwigulu, kwa namna tofauti na njia iliyotumika kumwondoa Nchimbi. Mange anadaiwa pia kuwa na taarifa kuhusu shinikizo la Mwigulu kutakiwa kujiuzulu, vinginevyo zingeachiwa video nyingine mbaya zaidi.
😂😂😂🙌Angejiuzulu tu kutunza heshima yake
Kitakacho fuata ni chini ya ulinzi barua ya kujiuzulu inaachiwa na hamtosikia akiongea popote kama nchimbiMapya yameibuka katika sakata la video inayodaiwa kutengenezwa ili kumshinikiza Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, kujiuzulu. Anadaiwa kuwataka walioitengeneza waache kumtishia kuachia video nyingine na badala yake wamlete hata mwanamke ambaye picha yake inadaiwa kutumika kutengeneza video hizo, akisisitiza kuwa hatajiuzulu.
Kwa mujibu wa Mange, video hiyo ilitengenezwa kwa kutumia AI kwa lengo la kumwondoa Mwigulu, kwa namna tofauti na njia iliyotumika kumwondoa Nchimbi. Mange anadaiwa pia kuwa na taarifa kuhusu shinikizo la Mwigulu kutakiwa kujiuzulu, vinginevyo zingeachiwa video nyingine mbaya zaidi.
Taarifa hizo zinadai kuwa Mwigulu aliitwa Chamwino kwenye kikao kizito kilichohusisha tajiri, mtoto na watu wengine wenye ushawishi. Inadaiwa aliingia saa mbili na kutoka saa saba.
Kwa mujibu wa simulizi hizo, “Msukuma huyo kichwa chake ni Magufuli mtupu.” Anadaiwa kugoma kujiuzulu, kisha akaondoka na kuendelea na ziara zake.
Katika kikao hicho, anadaiwa kusema: “Msihangaike na video. Mleteni na mwanamke mliyetumia picha yake. Hakuna mtu wa kujiuzulu. Mimi si Chongolo. Najijua: sinywi pombe, sivuti bangi wala kutumia dawa za kulevya. Sina michezo hiyo, na sijawahi kwenda kwenye lodge hata kwa vikao.”
Taarifa hizo zinadai pia kuwa kikao kilivurugika bila mazungumzo kuendelea. Aidha, kuna madai ya kuitishwa kwa vikao vya dharura vya CCM, vya Maadili na Kamati Kuu.
Tusubiri kuona iwapo kutakuwa na hatua kupitia vikao vya chama baada ya madai hayo ya kukataa kujiuzulu mwenyewe.
Mwigulu atakuwa anajua siri nyingi sana hasa alipokuwa wizara ya fedha. Na hii inawaogopesha sana.
Kuna nguvu inatumika chaplin afanane na meko hii kitu naiona sana kuna mapimbi yamevuta kibunda yapush hii ajendaili kuamini huu ni upupu na utyoko,
Tangu lini nchemba ni msukuma
Umbeya kama huu ndiyo wafuasi wa kule wanapendelea sana..pole sana.Kwani Rais akisema kazi imeisha kuna wa kuzuia?Mapya yameibuka katika sakata la video inayodaiwa kutengenezwa ili kumshinikiza Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, kujiuzulu. Anadaiwa kuwataka walioitengeneza waache kumtishia kuachia video nyingine na badala yake wamlete hata mwanamke ambaye picha yake inadaiwa kutumika kutengeneza video hizo, akisisitiza kuwa hatajiuzulu.
Kwa mujibu wa Mange, video hiyo ilitengenezwa kwa kutumia AI kwa lengo la kumwondoa Mwigulu, kwa namna tofauti na njia iliyotumika kumwondoa Nchimbi. Mange anadaiwa pia kuwa na taarifa kuhusu shinikizo la Mwigulu kutakiwa kujiuzulu, vinginevyo zingeachiwa video nyingine mbaya zaidi.
Taarifa hizo zinadai kuwa Mwigulu aliitwa Chamwino kwenye kikao kizito kilichohusisha tajiri, mtoto na watu wengine wenye ushawishi. Inadaiwa aliingia saa mbili na kutoka saa saba.
Kwa mujibu wa simulizi hizo, “Msukuma huyo kichwa chake ni Magufuli mtupu.” Anadaiwa kugoma kujiuzulu, kisha akaondoka na kuendelea na ziara zake.
Katika kikao hicho, anadaiwa kusema: “Msihangaike na video. Mleteni na mwanamke mliyetumia picha yake. Hakuna mtu wa kujiuzulu. Mimi si Chongolo. Najijua: sinywi pombe, sivuti bangi wala kutumia dawa za kulevya. Sina michezo hiyo, na sijawahi kwenda kwenye lodge hata kwa vikao.”
Taarifa hizo zinadai pia kuwa kikao kilivurugika bila mazungumzo kuendelea. Aidha, kuna madai ya kuitishwa kwa vikao vya dharura vya CCM, vya Maadili na Kamati Kuu.
Tusubiri kuona iwapo kutakuwa na hatua kupitia vikao vya chama baada ya madai hayo ya kukataa kujiuzulu mwenyewe.
na hii ishu ya " ... ni Maghufuli mtupu" ni propaganda mfu kabisa!mtoa mada wewe nyuzi zako zote ni kuhusu Mwigulu, au ni ww
We nawe ni bwege kweli. Tangu lini asiwe msukuma?ili kuamini huu ni upupu na utyoko,
Tangu lini nchemba ni msukuma
Mfukuzeni chamani 😄 😄Tangu jamaa yangu jasusi mbobevu tangu TPDF wameweza kumfix CCM ni ya kuogopeka sana 😀😀
Mwigulu hafiki hata ½ ya CV ya EMA lakini ema aliinua mikono sembuse huyo mnyaturu