Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 11,047
- 16,378
Mgambo waruka na kukanyaganaa eeenhhh wachekaaaa...
Badoo hana madhara yoyote so far hawezi kuwa president 2030 sasa wanini..?Mfukuzeni chamani 😄 😄
kete inasukumwa mchana kweupena hii ishu ya " ... ni Maghufuli mtupu" ni propaganda mfu kabisa!
Mtoa mada ni chawa wa Mwigulu, yupo kazini kufanya propaganda, kudanganya wajinga na kumpigia debe bosi wake..Kwa mujibu wa simulizi hizo, “Msukuma huyo kichwa chake ni Magufuli mtupu.” Anadaiwa kugoma kujiuzulu, kisha akaondoka na kuendelea na ziara zake.
Acha uzushi na uwongo, nani alimwita? Hv mnafikiri kila mtu ni mpumbavu km wewe? Anayeweza kumshauri waziri mkuu kujiuzulu ni Rais pekee, hakuna mbwa mwingine. Kwa Rais hawezi kukataa maana atamwondoa kwa aibu, kazi ni moja tu kuvunja baraza la mawaziri. Rais hawezi hata kuongea na PM km Mwinyi alivyomfanya Warioba anayelialia mpk leo. Huo uzushi ni sukuma gang wana mtu wao mambwa hao.Mapya yameibuka katika sakata la video inayodaiwa kutengenezwa ili kumshinikiza Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, kujiuzulu. Anadaiwa kuwataka walioitengeneza waache kumtishia kuachia video nyingine na badala yake wamlete hata mwanamke ambaye picha yake inadaiwa kutumika kutengeneza video hizo, akisisitiza kuwa hatajiuzulu.
Kwa mujibu wa Mange, video hiyo ilitengenezwa kwa kutumia AI kwa lengo la kumwondoa Mwigulu, kwa namna tofauti na njia iliyotumika kumwondoa Nchimbi. Mange anadaiwa pia kuwa na taarifa kuhusu shinikizo la Mwigulu kutakiwa kujiuzulu, vinginevyo zingeachiwa video nyingine mbaya zaidi.
Taarifa hizo zinadai kuwa Mwigulu aliitwa Chamwino kwenye kikao kizito kilichohusisha tajiri, mtoto na watu wengine wenye ushawishi. Inadaiwa aliingia saa mbili na kutoka saa saba.
Kwa mujibu wa simulizi hizo, “Msukuma huyo kichwa chake ni Magufuli mtupu.” Anadaiwa kugoma kujiuzulu, kisha akaondoka na kuendelea na ziara zake.
Katika kikao hicho, anadaiwa kusema: “Msihangaike na video. Mleteni na mwanamke mliyetumia picha yake. Hakuna mtu wa kujiuzulu. Mimi si Chongolo. Najijua: sinywi pombe, sivuti bangi wala kutumia dawa za kulevya. Sina michezo hiyo, na sijawahi kwenda kwenye lodge hata kwa vikao.”
Taarifa hizo zinadai pia kuwa kikao kilivurugika bila mazungumzo kuendelea. Aidha, kuna madai ya kuitishwa kwa vikao vya dharura vya CCM, vya Maadili na Kamati Kuu.
Tusubiri kuona iwapo kutakuwa na hatua kupitia vikao vya chama baada ya madai hayo ya kukataa kujiuzulu mwenyewe.
Cha msingi wasiinyofoe Roho yake!Wamtoe apate muda wa kusimamia timu yake na mabus yake..!!
Hata wakimnyofoa fresh, hana faida.!.!Cha msingi wasiinyofoe Roho yake!
🤣🤣🤣🤣🤣. Abaki baki ili apate nafasi ya kutubu!Hata wakimnyofoa fresh, hana faida.!.!
Balile.Siku hizi kawa kimya. Nafasi yake atapewa maulid kitenge.
Alitumika sana kutoa ufafanuzi ya madudu yaliyokua yanafanyika wakati wa uchaguzi & kudhibiti vyombo vya habari na wanahabari, kazi yake imeisha ni muda wa kum-dump.Msigwa hana impact yoyote na kanafasi kake kepesi.
Gerson Msigwa siku hizi amesusa kutoa ufafanuzi, ameamua kuacha mambo yajiendee kama yalivyo.Kituo kinachofuata ni Gerson Msigwa.
Wewe kweli ni makeboili kuamini huu ni upupu na utyoko,
Tangu lini nchemba ni msukuma
Huyo wamfukuze tu kila mtu atafurah isipokuwa familia yakeKituo kinachofuata ni Gerson Msigwa.
Duh.... hata code ndogo hivyo imekushinda? Kweli JF inazidi kuzaaili kuamini huu ni upupu na utyoko,
Tangu lini nchemba ni msukuma
Amesusa kwa Mamlaka ya Nani?. Yaani upewe kazi na Boss wako ya kutoa ufanunuzi na ukanushaji halafu ususe?. Ana huo ubavu?Gerson Msigwa siku hizi amesusa kutoa ufafanuzi, ameamua kuacha mambo yajiendee kama yalivyo.