Tetesi: Mwigulu akataa kujiuzulu, kunafuka moto

SMie sio shabiki wa Mwigulu, lakini, sijaelewa. Kama inajulikana video ilitengenezwa na AI, kwa nini wamtake ajiuzulu?

Hii habari ina contradiction. Kuna mtu ana IQ ndogo kuweza kueneza propaganda
 
Kitakacho fuata ni chini ya ulinzi barua ya kujiuzulu inaachiwa na hamtosikia akiongea popote kama nchimbi
 
Umbeya kama huu ndiyo wafuasi wa kule wanapendelea sana..pole sana.Kwani Rais akisema kazi imeisha kuna wa kuzuia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…