Telewolth bin champion
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 2,386
- 6,473
Daaah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa wanaohujumu uchaguzi na kushinda isivyo halali wao unawaweka kundi gani ?Hakuna mtu anayempangia mtu au kuwapangia watu mtu wa kuwaongoza. Mtu wa kuwaongoza hupangwa na Mungu.
P
Tunapokezana muislam na mkatoliki tu. Akiingia mkristo mlutheri uniite mbwa nakaa pale.Acheni kutupangia wa kutuongoza hii nchi sio mali yenu binafsi.
Rais wa Tanzania hupangwa na TISS na CCM kwa ajiri yakulinda masilahi yao!Marais wa nchi hupangwa na Mungu, hivyo kwa vile wewe sio Mungu, you can't be certain sure kuwa fulani hawezi kuwa rais!, unless mpangaji ni wewe!.
Kwani unadhani hata Samia alijua kuwa atakuwa rais?, hakujua!.
P
Nilisema vile baada ya kuona in btn umeweka mlolongo mrefu wa wagombea wengine wengi nje ya Mwigulu.Marais wa nchi hupangwa na Mungu, hivyo kwa vile wewe sio Mungu, you can't be certain sure kuwa fulani hawezi kuwa rais!, unless mpangaji ni wewe!.
Kwani unadhani hata Samia alijua kuwa atakuwa rais?, hakujua!.
P
Nilisema vile baada ya kuona in btn umeweka mlolongo mrefu wa wagombea wengine wengi nje ya Mwigulu.Marais wa nchi hupangwa na Mungu, hivyo kwa vile wewe sio Mungu, you can't be certain sure kuwa fulani hawezi kuwa rais!, unless mpangaji ni wewe!.
Kwani unadhani hata Samia alijua kuwa atakuwa rais?, hakujua!.
P
Ungekaa kimya ingekufichia watu kujua udhaifu wako wa kufikiri!Japo mimi namsuport Mwingulu kwenye urais kwa sababu hii Mwigulu Lameck Nchemba, Is The Most Genuine So Far!-Can Make The Best President!-Nimeguswa! lakini 2025 ni awamu ya pili ya Samia ambayo ataitoa zawadi kwa Zanzibar for one term kumalizia term yake, hivyo 2030 ni zamu ya mgombea mwanamke Mkristu probably Dr. Tulia!. 2040 ni zamu ya Muislamu. Sasa Mwigulu atapitia wapi?.
P
Kifua kigumu?[emoji23][emoji23][emoji23]Ndio kwanza kumepambazuka.. Kama ni balehe ya kigoli ndio kwanza hata kuchezwa bado na kifua bado kigumu vile vijipuView attachment 2343286
Haya mambo haya.
Tunakaa kujadili madaraka kila siku wakati umaskini umetujaa mpaka kwenye kope.
Huko vijijini ni vumbi tu na mijini pia.
Hakuna dawa,vifaa tiba,madaktari,waalimu wa kutosha,elimu mbovu na vijana hawana aijira.
Maisha magumu kutokana na wingi wa tozo na kupanda kwa gharama za maisha.
Bado watu wanakaa kupiga soga nani atakua Rais, 2025,2030 ,2035.
Bado tuna safari ndefu kama Taifa.
Mungu tusaidie.