Mwigulu aliacha lini kuutaka Urais?

Hakuna mtu anayempangia mtu au kuwapangia watu mtu wa kuwaongoza. Mtu wa kuwaongoza hupangwa na Mungu.
P
Sasa wanaohujumu uchaguzi na kushinda isivyo halali wao unawaweka kundi gani ?
 
Marais wa nchi hupangwa na Mungu, hivyo kwa vile wewe sio Mungu, you can't be certain sure kuwa fulani hawezi kuwa rais!, unless mpangaji ni wewe!.
Kwani unadhani hata Samia alijua kuwa atakuwa rais?, hakujua!.
P
Rais wa Tanzania hupangwa na TISS na CCM kwa ajiri yakulinda masilahi yao!

Eddo aliwahi ambiwa kamwe Rais wa Tanzania baada ya Jakaya hawezi toka Kasikazini! Na hili lilitamka na mtoto wa mnene! Hapa utasema Mungu ndiyo alipanga??

Bila Nguvu za Ben! Unadhani Magu angekua Rais?? Rais alikua Membe,Migiro au Amina! Na ndo mnene alikua anaenda nao! Bila ubabe wa Ben,mnene angekata jina la Magu kwenye top five hata asingeingia!
 
Marais wa nchi hupangwa na Mungu, hivyo kwa vile wewe sio Mungu, you can't be certain sure kuwa fulani hawezi kuwa rais!, unless mpangaji ni wewe!.
Kwani unadhani hata Samia alijua kuwa atakuwa rais?, hakujua!.
P
Nilisema vile baada ya kuona in btn umeweka mlolongo mrefu wa wagombea wengine wengi nje ya Mwigulu.
 
Haya mambo haya.

Tunakaa kujadili madaraka kila siku wakati umaskini umetujaa mpaka kwenye kope.

Huko vijijini ni vumbi tu na mijini pia.

Hakuna dawa,vifaa tiba,madaktari,waalimu wa kutosha,elimu mbovu na vijana hawana aijira.

Maisha magumu kutokana na wingi wa tozo na kupanda kwa gharama za maisha.

Bado watu wanakaa kupiga soga nani atakua Rais, 2025,2030 ,2035.

Bado tuna safari ndefu kama Taifa.

Mungu tusaidie.
 
Pole sana ndugu kwa kujidhania unajua kumbe hujui.

Maudhui ya mada si nani kuwa raisi. Bali mshindani kwenye kiti hicho anazo sababu zipi za kukufanyia wewe kazi kwa tija, kama kwa kukufitini tu kwa wapiga kura itampa yeye political mileage?

Nakubaliana na FAM tatizo letu kubwa ni ujinga na wewe siyo exception.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…