Mwigulu amuwashia moto Mpina, ni kuhusu kufunga biashara. Adai Mpina anafurahia watu wakiumia

Mwigulu sasa ameanza kuilewa falsafa ya uongozi wa Kistaraabu wa Mama Samia.Jionee:

Amemchana mpaka dhambi zake za zamani. Myiramba leo kapandisha za Iramba.
Uzuri ni kwamba majini yote mawili yalifugwa na mtu mmoja kwenye chupa moja. Ndio maana yote yanafahamiana. Acha iendelee kunyesha ili tuone panapovuja. Hii ndio Tanzania
 
Mwigulu sasa ameanza kuilewa falsafa ya uongozi wa Kistaraabu wa Mama Samia.Jionee:

Amemchana mpaka dhambi zake za zamani. Myiramba leo kapandisha za Iramba.
Hivi huyu ndugu mawazo haya alikuwa nayo 2015-2021? Nchemba wewee!!!!
 
Mwigulu sasa ameanza kuilewa falsafa ya uongozi wa Kistaraabu wa Mama Samia.Jionee:

Amemchana mpaka dhambi zake za zamani. Myiramba leo kapandisha za Iramba.
Kiukweli mm km mwenye mtaji mdogo nimefarijika mno naomba waweke haya ktk utekelezaji
 
M
Uzuri ni kwamba majini yote mawili yalifugwa na mtu mmoja kwenye chupa moja. Ndio maana yote yanafahamiana. Acha iendelee kunyesha ili tuone panapovuja. Hii ndio Tanzania
Wiguku alikuwa hamoendi jamaa yule, alimfanyia uhuni kwenye uchaguzi.
 
Ni ngumu sana kutatua tatizo kwa kutafuta justification ya makosa ya mtoa hoja!!
 
Dah Mpina alimkamia sana Mwigulu. Karudishia mapigo.

Si unajuwa, kofi la kurudihia linauma zaidi.
Mpina ni kama ana maumivu binafsi ya moyoni. Ni mtu anayeishi na hasira kwa awamu ya sita.

Anaona sio sehemu ya watu wa karibu wa SSH hivyo ana donge lina mkereketa.

Juzi alipoambiwa na Spika muda wako umeisha akapiga meza kwa hasira.
 
Luhaga Mpina kwa madai alikuwa anafungia viwanda alipokuwa waziri huku akifurahia. Mwigulu amesema Mpina alikuwa anafanya sherehe kwa kuchoma nyavu bila kuzidhibiti kuingia.
Yeye alikuwa waziri wa importation?
 
Mpina ni kama ana maumivu binafsi ya moyoni. Ni mtu anayeishi na hasira kwa awamu ya sita.

Anaona sio sehemu ya watu wa karibu wa SSH hivyo ana donge lina mkereketa.

Juzi alipoambiwa na Spika muda wako umeisha akapiga meza kwa hasira.
Yes anankitu kinaitwa "superiority complex".

Jwa watu wengi kitu kigumu sana ni ku "unlearn" yaani kufuta uliyokwisha jifunza.

Mpina ilibidi a "unlearn" ili aweze kujifunza mapya.
 
Sisi tuko buzy kuikomboa bandari yetu kutoka kwa mktaba tapeli wa DP world, hvyo viwanda vilivyofungwa si wavifungue tyuuh.

Wasituchanganye hapa.

Binamu hivi uko salama kweli? Nilijua utaenda kupigania bandari ya mbambabey maana mwekezaji akishaingia pale anajenga na kiwanda cha kusindika samaki na dagaa hapo, mbufu, mbelele, utazisikia kwenye redio tu
 
Kama bandari ni yenu mbona mpo humu kulialia tu.
Wenye bandari yao ni watu wa Pwani na ndio washaamua kumpa Mwarabu.
Kaskazini wanajivunia mlima mbuga wa pwani wana bandari eapoti 😆
 
Yes anankitu kinaitwa "superiority complex".

Jwa watu wengi kitu kigumu sana ni ku "unlearn" yaani kufuta uliyokwisha jifunza.

Mpina ilibidi a "unlearn" ili aweze kujifunza mapya.
Asili ya watu wa kabila husika ndio hiyo. Yupo Kalemani, yupo RIP Magufuli wote wana hiyo kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…