James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 8,759
- 14,831
Umelipwa sh ngapi?Mwigulu sasa ameanza kuilewa falsafa ya uongozi wa Kistaraabu wa Mama Samia.Jionee:
Amemchana mpaka dhambi zake za zamani. Myiramba leo kapandisha za Iramba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umelipwa sh ngapi?Mwigulu sasa ameanza kuilewa falsafa ya uongozi wa Kistaraabu wa Mama Samia.Jionee:
Amemchana mpaka dhambi zake za zamani. Myiramba leo kapandisha za Iramba.
Siku hizi malipo kwa Dirham tu. Tukapige shopping Dubai.Umelipwa sh ngapi?
Mwigulu sasa ameanza kuilewa falsafa ya uongozi wa Kistaraabu wa Mama Samia.Jionee:
Amemchana mpaka dhambi zake za zamani. Myiramba leo kapandisha za Iramba.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwigulu sasa ameanza kuilewa falsafa ya uongozi wa Kistaraabu wa Mama Samia.Jionee:
Amemchana mpaka dhambi zake za zamani. Myiramba leo kapandisha za Iramba.
Mwigulu sasa ameanza kuilewa falsafa ya uongozi wa Kistaraabu wa Mama Samia.Jionee:
Amemchana mpaka dhambi zake za zamani. Myiramba leo kapandisha za Iramba.
Kiukweli mm km mwenye mtaji mdogo nimefarijika mno naomba waweke haya ktk utekelezajiMwigulu sasa ameanza kuilewa falsafa ya uongozi wa Kistaraabu wa Mama Samia.Jionee:
Amemchana mpaka dhambi zake za zamani. Myiramba leo kapandisha za Iramba.
Mwigulu sasa ameanza kuilewa falsafa ya uongozi wa Kistaraabu wa Mama Samia.Jionee:
Amemchana mpaka dhambi zake za zamani. Myiramba leo kapandisha za Iramba.
Basi sawaaaEndeleeni na ubize wenu, sisi tunachojua serikali ishafanya maamuzi na hamna mnachoweza kubadili
Wiguku alikuwa hamoendi jamaa yule, alimfanyia uhuni kwenye uchaguzi.Uzuri ni kwamba majini yote mawili yalifugwa na mtu mmoja kwenye chupa moja. Ndio maana yote yanafahamiana. Acha iendelee kunyesha ili tuone panapovuja. Hii ndio Tanzania
Dah Mpina alimkamia sana Mwigulu. Karudishia mapigo.Mwigulu amemchamba sana Mpina. Maisha haya ni mzunguko, kuna kesho na kesho kutwa.
Ipo haja ya kuweka akiba ya maneno.
Ni ngumu sana kutatua tatizo kwa kutafuta justification ya makosa ya mtoa hoja!!Akiwa bungeni leo Juni 26, 2023, waziri wa fedha, Mwigulu Nchemba wakati akihitimisha hoja ya makadirio ya bajeti amemkalia kooni mbunge mwenzeke, Luhaga Mpina kwa madai alikuwa anafungia viwanda alipokuwa waziri huku akifurahia. Mwigulu amesema Mpina alikuwa anafanya sherehe kwa kuchoma nyavu bila kuzidhibiti kuingia.
Mwigulu amesema Rais Samia anawafundisha shughuli za uzalishaji ziheshimiwe na inapotokea matatizo kuwe na utaratibu wa kiungwana wa kurekebisha na kuacha kufunga biashara.
Mwigulu amemwambia Mpina kuwa si ubingwa wala ustaarabu kupinga kila kitu hata ambavyo havistahili kupingwa.
======
Amemshauri Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kuwa si ubingwa wala si ustaarabu kupinga kila kitu hata visipopaswa kupingwa, badala yake anaweza kuuliza kwa namna nzuri ili aeleweshwe. Ameyasema haya wakati akirejea hoja ya Mpina iliyokata biashara zifungiwe.
Ametolea mfano alivyokuwa anafunga viwanda, kuchoma nyavu akiwa Waziri kuwa matendo hayo hayakuwa ya kistaarabu. Watu wa Sekta binafsi sio maadui, ni washirika wa maendeleo.
Katika kufungia biashara za watu ni muhumu kuzingatia mitaji yao, uwekezaji na muda wanaotumia kuwekeza na kufanya biashara hizo. Hauwezi kukaa na mtaji wa mtu umeushikilia huku yeye akiumia.
Mpina ni kama ana maumivu binafsi ya moyoni. Ni mtu anayeishi na hasira kwa awamu ya sita.Dah Mpina alimkamia sana Mwigulu. Karudishia mapigo.
Si unajuwa, kofi la kurudihia linauma zaidi.
Yeye alikuwa waziri wa importation?Luhaga Mpina kwa madai alikuwa anafungia viwanda alipokuwa waziri huku akifurahia. Mwigulu amesema Mpina alikuwa anafanya sherehe kwa kuchoma nyavu bila kuzidhibiti kuingia.
Yes anankitu kinaitwa "superiority complex".Mpina ni kama ana maumivu binafsi ya moyoni. Ni mtu anayeishi na hasira kwa awamu ya sita.
Anaona sio sehemu ya watu wa karibu wa SSH hivyo ana donge lina mkereketa.
Juzi alipoambiwa na Spika muda wako umeisha akapiga meza kwa hasira.
Sisi tuko buzy kuikomboa bandari yetu kutoka kwa mktaba tapeli wa DP world, hvyo viwanda vilivyofungwa si wavifungue tyuuh.
Wasituchanganye hapa.
Viwanda vya samaki, huyo si ndiye alienda na ruler kupima samaki bungeni.Yeye alikuwa waziri wa importation?
Wakamshangilia ila wengine wakakwazikaViwanda vya samaki, huyo si ndiye alienda na ruler kupima samaki bungeni.
Kaskazini wanajivunia mlima mbuga wa pwani wana bandari eapoti 😆Kama bandari ni yenu mbona mpo humu kulialia tu.
Wenye bandari yao ni watu wa Pwani na ndio washaamua kumpa Mwarabu.
Asili ya watu wa kabila husika ndio hiyo. Yupo Kalemani, yupo RIP Magufuli wote wana hiyo kitu.Yes anankitu kinaitwa "superiority complex".
Jwa watu wengi kitu kigumu sana ni ku "unlearn" yaani kufuta uliyokwisha jifunza.
Mpina ilibidi a "unlearn" ili aweze kujifunza mapya.