Uranium ore zote sio sawa kama ilivyo kwa madini mengi.
Sehemu yenye high quality reserve kama Niger watemi hawachezi mbali. Sio kila resreve ina thamani kwao.
Kwa wababe kwanza wanauwezo wa kutengeneza hydrogen bombs more lethal kuliko uranium.
Kwa sehemu kubwa kwa wababe umuhimu wa uranium ni kwenye umeme na kuzuia wenye nia ya kutengeneza mabomu kupata access.
Zama hizi za AI na digital in generał data centrę zinataka umeme mwingi watu kama Google washaanza kutengeneza small scale nuclear plants kwa matumizi ya data centre zao tu.
Wao wenyewe kama mataifa wana makubaliano ya kutotengeneza tena mabomu ya nuclear mfano INF treaty, New Start agreement and proliferation of mass destruction, etc; na ujasikia wakilalamikiana kuvunja hizo treaties as yet.
Wangekuwa wanasoma vitabu vya retired security advisors/personnel wa nchi za magharibi kama kina Bolton wangekuwa walau na idea important commodities za national security huko kwa wazungu.
But then serikali wamepeleka vijana kibao kusoma shahada za international politics specialised degrees kama Middle East politics, US politics, African Studies, Asia, etc with nonsense; surely kwenye geopolitics na security wanatakiwa wajue hayo mambo huko wizara ya mambo ya ndani.
Ndio madhara ya kupeleka vimada maofisini na watoto wa vigogo kusoma nje, kuruka vijana wenye uwezo. Lazima ushauriwe ujinga tu na kuropoka ujinga.
Ni kwamba ukiwasikiliza viongozi wetu salamu wanazotuma kwa wazungu indirectly zinaonyesha uwezo mdogo wa watu wanaoendesha nchi ya Tanzania.
Nani anashida na uranium ya Tanzania, kwanza ni low grade; halafu si tayari wana mkataba na Russia.