Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 6,602
- 10,801
Watu wote tuseme AMENNa iwe hivyo....
Amedemka mpaka akapitilizaBora aache tu, uchumi bado hana uzoefu nao.
Amedemka mpaka akapitilizaBora aache tu, uchumi bado hana uzoefu nao.
Hamna kitu anapotosha Sanamwigulu ame fits katika hii wizara kiasi kwamba mama hana stress za aina yoyote juu ya fedha katika mipango mbali mbali
Yupo kijana wetu mpendwa mbunge anaandaliwaMama awez kuacha engine yake
Waziri wetu mvaa skafu inadaiwa amekalia kuti kavu, muda wowote ataaga mashindano na kutuachia wizara yetu..
Ahsanteni...
Time Will tellYupo kijana wetu mpendwa mbunge anaandaliwa
Blah blah sawaUkiona habari Ina NASIKIA/INASEMEKANA ujue ni porojo na blah blah
Waziri wetu mvaa skafu inadaiwa amekalia kuti kavu, muda wowote ataaga mashindano na kutuachia wizara yetu..
Ahsanteni...