Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Sababu ni ipi ya kutumbuliwa kwake?Waziri wetu mvaa skafu inadaiwa amekalia kuti kavu, muda wowote ataaga mashindano na kutuachia wizara yetu..
Ahsanteni...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sababu ni ipi ya kutumbuliwa kwake?Waziri wetu mvaa skafu inadaiwa amekalia kuti kavu, muda wowote ataaga mashindano na kutuachia wizara yetu..
Ahsanteni...
Naona amelamba mpaka ameng'oa kuchaHii wizara angefaa sana apewe Kimei, sio mlamba miguu
Mabadiliko ya kiutendaji, atapangiwa majukumu mengineSababu ni ipi ya kutumbuliwa kwake?
Japo mzee wa mawe ni msengerema sana ila Hapo unajaribu kubet!!Mabadiliko ya kiutendaji, atapangiwa majukumu mengine
Tozo za Septemba zimeelekezwa wapi?mwigulu ame fits katika hii wizara kiasi kwamba mama hana stress za aina yoyote juu ya fedha katika mipango mbali mbali
Aende Burundi sasa, si kapaona pazuri sana hukoAmedemka mpaka akapitiliza
Kwa sababu hajatoa takwimu za tozo ya mwezi Septemba kama alivyofanya tozo za mwezi AugustSababu ni ipi ya kutumbuliwa kwake?
Apewe ubalozi wa BurundiMabadiliko ya kiutendaji, atapangiwa majukumu mengine
Hangaya ameshaona ile ni threat kwake, ameamua kumfanya toilet paperhuyo mpumbv na anandoto za kuwa rais, akija kupata madaraka huyo ashindwi kutunyanyasa na kutuonea raia wa mipakani tuhame nchi akatuuze uko tukawe wakimbizi....bora aachie iyo wizara...mtu wa hovyo sana
Hachelewi kuwapeleka Burundi 😂😂huyo mpumbv na anandoto za kuwa rais, akija kupata madaraka huyo ashindwi kutunyanyasa na kutuonea raia wa mipakani tuhame nchi akatuuze uko tukawe wakimbizi....bora aachie iyo wizara...mtu wa hovyo sana
Kumbuka hata magu ilianza anza hivyo na INASEMEKANAUkiona habari Ina NASIKIA/INASEMEKANA ujue ni porojo na blah blah
Hata Singida United hawamtaki, labda aende Stand United ya MisunaTunamkabidhi singida united aifufue tena
Hili ndilo tatizo la JF kuvamiwaWaziri wetu mvaa skafu inadaiwa amekalia kuti kavu, muda wowote ataaga mashindano na kutuachia wizara yetu..
Ahsanteni...