Tetesi: Mwigulu anapigwa kikumbo kikali

Basi la kwenda Burundi litamuacha afanye haraka[emoji1787][emoji1]
 
Tatizo tulimsaidia pale mbeya wakati wa uchaguzi mwaka 2015 asipelekwe kibla leo hii anatutesa.
 
Wizara ya Fedha ni ngumu! Hakuna wakati wo wote na katika awamu karibia zote Wizara ya Fedha ilipokuwa rahisi.
Kila anayechaguliwa kuwa Waziri wa Fedha anakuwa ametolewala kama Kafara tu.
 
Ndugu Joselala kwahiyo mara hii umetoa baraka aende na mafuriko sio.
Tatizo hawa watu wakipewa vimadaraka wanajisikia ni so special kwasababu ya kusindikizwa na maving'ora.

Jamaa nilikuwa na mkubali sana wayback.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…