Mwigulu anawasalimia

Japo video ni ya mwaka 2015 lakini mimi nasema Mwigulu ni mpuuzi mtupu anayenuia kuangamiza watanzania.
 
Aisee, hii ni uchonganishi kiwango cha zege πŸ˜€πŸ˜€.
 
Ila wanasiasa wa CCM nikama wasanii wa USA tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mtu anatokea kwenye video za wenzie kama mualikwa after 15 yrs unashangaa yeye ndio anakuwa star mkubwa ana run kwenye media zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…