Mwigulu asisitiza umuhimu wa kurasimisha taratibu za ushirikiano katika shughuli za uchimbaji wa madini

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
651
Reaction score
433
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesisitiza umuhimu wa kurasimisha taratibu za ushirikiano katika shughuli za uchimbaji wa madini kwa kutumia mikataba rasmi, akisema hatua hiyo itasaidia kuweka wazi makubaliano ya pande zinazohusika na kuzuia migogoro.

Ametoa kauli hiyo wakati akizungumza katika hafla ya kufunga Maonesho ya Tisa ya Teknolojia ya Madini yaliyofanyika mkoani Geita.

📅 Oktoba 3, 2026.
📍 Geita, Tanzania.
 

Attachments

  • VID-20261003-WA0249.mp4
    13.3 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…