Mwigulu ataka makosa ya barabarani yachukuliwe serious zaidi kuliko ilivyo sasa

Mwigulu ataka makosa ya barabarani yachukuliwe serious zaidi kuliko ilivyo sasa

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba ametaja idadi ya ajali zilizotokea Tanzania kwa mwaka ambapo ametaja kuwa kumerekodiwa ajali 1093 ambapo zimesababisha vifo 7636 na majeruhi 12663 ambapo wengine wana ulemavu wa kudumu.

Aidha ametaja kuwa suala hili ni chanzo cha yeye pia kuondolewa uwaziri wa Wizara ya mambo ya ndani. Hivyo ameshauri makosa ya barabarani yawe serious zaidi.

Amesema kuua kwa risasi hakuna tofauti na anayeua kwa kuwa ameendesha gari kwa speed, hivyo badala ya makosa haya kuwa trafic offences yawe ni makosa ya kuua kama makosa mengine.

Ameweka wazi kuwa wanaoendesha magari kwa fujo ni watu wote ikiwemo watumishi wa serikali.

====

Pia soma: News Alert: - Waziri Mwigulu awasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025
 
Back
Top Bottom