Mwigulu ataruhusu nyota ya January ing'ae?

Bora mwigulu Mara 1000 kuliko huyo January. Yeye January hata hiyo mijadala haitaki. Nilimkosoa kidogo tu wiki iliyopita akanipiga ban.
January popote ulipo hutakuja kuupata uraisi
View attachment 2000551
Ukiona mtu amekublock ujue kuna mawili:

1. Amekuona upo smart sana, utamchallenge

2. Amekuona bonge la mpumbavu uliyetumwa kumpotezea bando na muda wake.

Sasa wewe jiulize upo kundi gani.
 
Hiyo miaka hakuna lililowezekana ndio maana ye mwenyewe January alihusika na mikataba ya hovyo ya tanesco, kulikuwa na uvuvi wa kutumia mabomu kila mahali, uuzaji wa viwanja holela nchi nzima, miradi kutokamilika.
January ana mapungufu yake ila kumlinganisha na Mwigulu ni kumdhalilisha.
 
Not one, not two, but all of them. Beware that amongst them the other presidential material is Emmanuel Nchimbi.
 
nimeelewa, Mwigulu na January hawawezi kuelewana yani ni kama tuseme ni washindani na above all wote wana nia ya kuwania kile kiti
nikatoa jibu langu kwamba,hata kama Mwigulu akimbania January bado haitamsaidia maana Mwigulu hakubaliki kabisa
Mahali pekee ambapo Mwigulu anapokubalika kwenye Urais ni kwenye yale majabali aliyoyaandika kila mahali kua ye ni Rais
 
Kuna mmoja kati ya mlowataja ana vinasaba vya kumzidi JPM .
 
Bora mwigulu Mara 1000 kuliko huyo January. Yeye January hata hiyo mijadala haitaki. Nilimkosoa kidogo tu wiki iliyopita akanipiga ban.
January popote ulipo hutakuja kuupata uraisi
View attachment 2000551
Ulimkosoa kidogo au ulimtusi? Kila anayepigwa bloku Twitter hulalamika ameonewa, lakini it is same story gerezani, kila mfungwa hudai "I didn't do it" (yaani yupo gerezani kionevu)
 
Wakola omwana wa mawe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…