Pre GE2025 Mwigulu badala ya kuwasilisha bajeti yeye anatumia muda mrefu kumkandia Tundu Lissu

Pre GE2025 Mwigulu badala ya kuwasilisha bajeti yeye anatumia muda mrefu kumkandia Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Taifa linamsikiliza Waziri wa Fedha akiwasilisha bajeti yeye anatumia dakika karibia 10 kumpiga vijembe Tundu Lissu na Muungano.

Au mimi ndio sielewi? Lissu anahusiana nini na Bajeti Kuu ya Serikali?
Kamtaja au katupa jiwe gizani?
Minyumbu bwana
 
Taifa linamsikiliza Waziri wa Fedha akiwasilisha bajeti yeye anatumia dakika karibia 10 kumpiga vijembe Tundu Lissu na Muungano.

Au mimi ndio sielewi? Lissu anahusiana nini na Bajeti Kuu ya Serikali?
Lissu yuko mkoani Singida na tayari kaishamvuruga mwigulu jimboni kwake. Mtemi mwigulu tumbo joto uchaguzi mkuu ujao atapata upinzani mkali haijawahi kutokea, ndio maana anamnangananga Lissu badala ya kuwasilisha bajeti yake, Lissu anaingiaje hapo? Joto la uchaguzi mkuu limeanza mapema sana
 
Lissu ni maji, usipoyaoga utayanywa tu. Akija akajibu ni mzozo nchi nzima wanaanza kujibu 😃
 
Taifa linamsikiliza Waziri wa Fedha akiwasilisha bajeti yeye anatumia dakika karibia 10 kumpiga vijembe Tundu Lissu na Muungano.

Au mimi ndio sielewi? Lissu anahusiana nini na Bajeti Kuu ya Serikali?

====

Pia soma:
- Waziri Mwigulu awasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025

- Waziri Mwigulu: Wanasiasa waliofilisika wanatafuta uhalali wa kisiasa kwa ubaguzi ni hatari na wa hovyo
Mwaka huu na ujao wapo watakao pata kiharusi kwa hofu ya huyo mwamba🤭
 
Back
Top Bottom