Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Lisu amemvuruga hasaaaa hukoo.....ameambiwa anatakatishaaaZiara za Lissu Singida zime uweka rehani ubunge wake
Nchi hii ina viongozi wa ajabu sana! Lissu anahusiana nini na bajeti?Taifa linamsikiliza Waziri wa Fedha akiwasilisha bajeti yeye anatumia dakika karibia 10 kumpiga vijembe Tundu Lissu na Muungano.
Au mimi ndio sielewi? Lissu anahusiana nini na Bajeti Kuu ya Serikali?
Kamtaja au katupa jiwe gizani?Taifa linamsikiliza Waziri wa Fedha akiwasilisha bajeti yeye anatumia dakika karibia 10 kumpiga vijembe Tundu Lissu na Muungano.
Au mimi ndio sielewi? Lissu anahusiana nini na Bajeti Kuu ya Serikali?
Huwa nawaambia Mwigulu ni mweupe kichwani. Ukifunga vitabu anabaki na fuvu tuNchi hii ina viongozi wa ajabu sana! Lissu anahusiana nini na bajeti?
Kama huna C 3 huwezi kuelewa ndugu YuvisisiemKamtaja au katupa jiwe gizani?
Minyumbu bwana
Lissu yuko mkoani Singida na tayari kaishamvuruga mwigulu jimboni kwake. Mtemi mwigulu tumbo joto uchaguzi mkuu ujao atapata upinzani mkali haijawahi kutokea, ndio maana anamnangananga Lissu badala ya kuwasilisha bajeti yake, Lissu anaingiaje hapo? Joto la uchaguzi mkuu limeanza mapema sanaTaifa linamsikiliza Waziri wa Fedha akiwasilisha bajeti yeye anatumia dakika karibia 10 kumpiga vijembe Tundu Lissu na Muungano.
Au mimi ndio sielewi? Lissu anahusiana nini na Bajeti Kuu ya Serikali?
Sema chura kiziwiiChura yupo Ikulu anafatilia igizo lao la bajeti
Unategemea UVCCM aelewe? Umeona ile clip ya chawa mmoja mjinga anasema baada ya Yesu na Mohamed, Samia ndiye anafuata!Kama huna C 3 huwezi kuelewa ndugu Yuvisisiem
Waambie ukweli Hawa machawa hawaelewi chochote!Huwa nawaambia Mwigulu ni mweupe kichwani. Ukifunga vitabu anabaki na fuvu tu
Mwaka huu na ujao wapo watakao pata kiharusi kwa hofu ya huyo mwamba🤭Taifa linamsikiliza Waziri wa Fedha akiwasilisha bajeti yeye anatumia dakika karibia 10 kumpiga vijembe Tundu Lissu na Muungano.
Au mimi ndio sielewi? Lissu anahusiana nini na Bajeti Kuu ya Serikali?
====
Pia soma:
- Waziri Mwigulu awasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025
- Waziri Mwigulu: Wanasiasa waliofilisika wanatafuta uhalali wa kisiasa kwa ubaguzi ni hatari na wa hovyo