Mwigulu Bungeni amesema fedha aliyolipwa Symbion nje ya bajeti sio Bilioni 350

saidoo25

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2022
Posts
624
Reaction score
1,456
Waziri Mwigulu bungeni Februari 1, 2022 amesema fedha aliyolipwa Symbion nje ya bajeti sio Bilioni 350 kama ilivyosemwa na wabunge.

Swali ambalo Mwigulu hakulijibu Symbion amelipwa shilingi ngapi?

Pascal Mayalla na wachambuzi wengine tusaidieni majibu na uelewa maana tumeambiwa watanzania tujadili mambo ya uganga wa kienyeji mambo ya uchumi tumuachie Mwigulu yeye ndio taalamu yake
 
Duh

Hivi hakunaga Naibu waziri wa Fedha?

Naona kila jambo linajibiwa na Waziri mwenyewe

Halafu baadae tutaanza kumsimanga kama Biswalo
 
Kama sio hela hiyo pengine amalipwa zaidi. Lazima kuna utata vinginevyo angetaja kiwango halisi kuondoa utata.
 
Duh

Hivi hakunaga Naibu waziri wa Fedha?

Naona kila jambo linajibiwa na Waziri mwenyewe

Halafu baadae tutaanza kumsimanga kama Biswalo
Siasa zinaharibu sana professionalism sasa, mchumi gani anabisha bila data, non sense kbs. Akibisha siyo Bil 350 basi aseme ni kiasi gani, that's the sense of kubisha!

Otherwise asibishe akae kimya, anazidi kudharirisha 1st class yake ya uchumi ambayo tayar ina maswali!!
 
Joni eeeh, inawezekana anamkataza kwa kutumia Ile mbinu aliyotuambia tujadili, Sasa NINAKUALIKA, TUJADILI HIYO MBINU YAANI UGANGA WA KIENYEJI KAMA UNAWEZA KUMFANYA MTU ASIPEWE MAJUKUMU MAKUBWA MAKUBWA
 
Kuna siku Mwigulu alikuwa anabishana na mbunge mmoja , mpaka mawaziri wenzake wakakasirika na kumwambia akae.
 
Siasa zinaharibu sana professionalism sasa, mchumi gani anabisha bila data, non sense kbs. Akibisha siyo Bil 350 basi aseme ni kiasi gani, that's the sense of kubisha!

Otherwise asibishe akae kimya, anazidi kudharirisha 1st class yake ya uchumi ambayo tayar ina maswali!!
Mbaya zaidi ishu ya BIlioni 350 kulipwa Symbion imeandikwa kwenye ripoti ya CAG.. inasikitisha mchumi daraja la kwanza hasomi alafu anataka kuwa msemaji tu matokeo yake ndio hayo.
 
Jamaa ana hasira ".....hii ni field yangu naijua vizuri......blah blah blah......" hata hoja hajibu.

Halafu kama unajua hata husipo ongea ila kazi zako unazozifanya zitaongea,blah blah blah nyingi hapo ndipo watu wataanza kuhoji hivi ni kweli asemavyo ndivyo yupo hivyo.
 
Waziri Mwigulu bungeni Februari 1, 2022 amesema fedha aliyolipwa Symbion nje ya bajeti sio Bilioni 350 kama ilivyosemwa na wabunge.

Swali ambalo Mwigulu hakulijibu Symbion amelipwa shilingi ngapi?

Pascal Mayalla na wachambuzi wengine tusaidieni majibu na uelewa maana tumeambiwa watanzania tujadili mambo ya uganga wa kienyeji mambo ya uchumi tumuachie Mwigulu yeye ndio taalamu yake
anaulizwa mabilioni ya symbion yeye anajibu mambo ya madarasa
 
Ila wamelipwa hata kama sio Bilion 350?.

Mbona tuna watu wahovyo sanaa
Walikua na kesi na tanesco...na tanesco wangeshindwa tu tungepasuka pakubwa,so nunua,epuka Shari,epuka gharama za kumlipa symbion kila siku hata Kama hazalishi
 
Waziri Mwigulu bungeni Februari 1, 2022 amesema fedha aliyolipwa Symbion nje ya bajeti sio Bilioni 350 kama ilivyosemwa na wabunge.

Swali ambalo Mwigulu hakulijibu Symbion amelipwa shilingi ngapi?

Pascal Mayalla na wachambuzi wengine tusaidieni majibu na uelewa maana tumeambiwa watanzania tujadili mambo ya uganga wa kienyeji mambo ya uchumi tumuachie Mwigulu yeye ndio taalamu yake
Mwigulu nahisi anahitaji rehab haraka sana
 
Background ya mtu alipotoka na makuzi yake ina matter sana katika maisha yake yote. Hili jambo huwa tunalipuuzia na linatucost sana.
Yes , background, history Yale,makuzi,life status, mazingira aliyokulia ndio yanayomjenga mtu. Yaaani his beliefs, MINDEST,mind frame aliaminishwaje about work,life ,people,how to behave. They had already deeply engrained into his core beliefs of his BEING and become part of his functional level,DNA ,second nature,he/she execute them instinctly and intuitively. Like how our eyes closed automatic when dangerous thing wants to touch it. It's how our amygdala brain aka survival brain/caveman brain responds to danger. It does it automatically.

Mkuu una maono umeongea kitu kikubwa mno.
That's why it's very simple and easy to know someone who has born at their home and found good life,cars,storey houses and someone who has born in poverty then he finds power or money in his adulthood. They're quite different from each other. The big thing is about about MINDEST that distinguish them. Kamata matunda ama supu ya mchicha unywe.

Yaani umenitonesha maarifa yangu imebidi niongezee
 
Uwizi utaishaga lini nchi hii?
Walah tunapaswa kuandamana mpaka mjengoni kumnyofoanyofoa Nchemba
 
Waziri Mwigulu bungeni Februari 1, 2022 amesema fedha aliyolipwa Symbion nje ya bajeti sio Bilioni 350 kama ilivyosemwa na wabunge.

Swali ambalo Mwigulu hakulijibu Symbion amelipwa shilingi ngapi?

Pascal Mayalla na wachambuzi wengine tusaidieni majibu na uelewa maana tumeambiwa watanzania tujadili mambo ya uganga wa kienyeji mambo ya uchumi tumuachie Mwigulu yeye ndio taalamu yake
Hili la fedha zilizolipwa Simbion ni kaa la moto!.
Baada ya Simbion kushinda kesi, tulikubaliana out of court settlement na mdeni wetu akakubali kulipwa half the amount not as part payment but final payment.

Blaza aligoma hata kulipa hiyo half!.
Lakini baada tuu ya Jamaa kuchomoka, Simbion walilipwa fasta fasta na kimya kimya!. What is interesting is walilipwa the full amount plus interest, wakati tuliisha kubaliana alipwe half!.

More interesting is mitambo ile ni tumeinunua kimya kimya!, sasa mitambo ya Richmond ambayo ndio hiyo hiyo ya Dowans na ndio Simbion sasa ni mali yetu!.

The icing sugar of this case, aliyelipwa ni Mtanzania mwenzetu!. Jee ni nani huyu?!
Very unfortunately mimi simjui!. Japo mimi ni mwandishi wa habari wa IJ, kuna IJ na IJ, IJ nyingine ni unaachia tuu!, maana..., maana kama hata Blaza alileftishwa!, who are you to sniff around?!.
P
 
Back
Top Bottom