Hili la fedha zilizolipwa Simbion ni kaa la moto!.
Baada ya Simbion kushinda kesi, tulikubaliana out of court settlement na mdeni wetu akakubali kulipwa half the amount not as part payment but final payment.
Blaza aligoma hata kulipa hiyo half!.
Lakini baada tuu ya Jamaa kuchomoka, Simbion walilipwa fasta fasta na kimya kimya!. What is interesting is walilipwa the full amount plus interest, wakati tuliisha kubaliana alipwe half!.
More interesting is mitambo ile ni tumeinunua kimya kimya!, sasa mitambo ya Richmond ambayo ndio hiyo hiyo ya Dowans na ndio Simbion sasa ni mali yetu!.
The icing sugar of this case, aliyelipwa ni Mtanzania mwenzetu!. Jee ni nani huyu?!
Very unfortunately mimi simjui!. Japo mimi ni mwandishi wa habari wa IJ, kuna IJ na IJ, IJ nyingine ni unaachia tuu!, maana..., maana kama hata Blaza alileftishwa!, who are you to sniff around?!.
P