Kama sio hela hiyo pengine amalipwa zaidi. Lazima kuna utata vinginevyo angetaja kiwango halisi kuondoa utata.Waziri Mwigulu bungeni Februari 1, 2022 amesema fedha aliyolipwa Symbion nje ya bajeti sio Bilioni 350 kama ilivyosemwa na wabunge.
Swali ambalo Mwigulu hakulijibu Symbion amelipwa shilingi ngapi?
Pascal Mayalla na wachambuzi wengine tusaidieni majibu na uelewa maana tumeambiwa watanzania tujadili mambo ya uganga wa kienyeji mambo ya uchumi tumuachie Mwigulu yeye ndio taalamu yake
Siasa zinaharibu sana professionalism sasa, mchumi gani anabisha bila data, non sense kbs. Akibisha siyo Bil 350 basi aseme ni kiasi gani, that's the sense of kubisha!Duh
Hivi hakunaga Naibu waziri wa Fedha?
Naona kila jambo linajibiwa na Waziri mwenyewe
Halafu baadae tutaanza kumsimanga kama Biswalo
Joni eeeh, inawezekana anamkataza kwa kutumia Ile mbinu aliyotuambia tujadili, Sasa NINAKUALIKA, TUJADILI HIYO MBINU YAANI UGANGA WA KIENYEJI KAMA UNAWEZA KUMFANYA MTU ASIPEWE MAJUKUMU MAKUBWA MAKUBWADuh
Hivi hakunaga Naibu waziri wa Fedha?
Naona kila jambo linajibiwa na Waziri mwenyewe
Halafu baadae tutaanza kumsimanga kama Biswalo
Mbaya zaidi ishu ya BIlioni 350 kulipwa Symbion imeandikwa kwenye ripoti ya CAG.. inasikitisha mchumi daraja la kwanza hasomi alafu anataka kuwa msemaji tu matokeo yake ndio hayo.Siasa zinaharibu sana professionalism sasa, mchumi gani anabisha bila data, non sense kbs. Akibisha siyo Bil 350 basi aseme ni kiasi gani, that's the sense of kubisha!
Otherwise asibishe akae kimya, anazidi kudharirisha 1st class yake ya uchumi ambayo tayar ina maswali!!
anaulizwa mabilioni ya symbion yeye anajibu mambo ya madarasaWaziri Mwigulu bungeni Februari 1, 2022 amesema fedha aliyolipwa Symbion nje ya bajeti sio Bilioni 350 kama ilivyosemwa na wabunge.
Swali ambalo Mwigulu hakulijibu Symbion amelipwa shilingi ngapi?
Pascal Mayalla na wachambuzi wengine tusaidieni majibu na uelewa maana tumeambiwa watanzania tujadili mambo ya uganga wa kienyeji mambo ya uchumi tumuachie Mwigulu yeye ndio taalamu yake
Walikua na kesi na tanesco...na tanesco wangeshindwa tu tungepasuka pakubwa,so nunua,epuka Shari,epuka gharama za kumlipa symbion kila siku hata Kama hazalishiIla wamelipwa hata kama sio Bilion 350?.
Mbona tuna watu wahovyo sanaa
Mwigulu nahisi anahitaji rehab haraka sanaWaziri Mwigulu bungeni Februari 1, 2022 amesema fedha aliyolipwa Symbion nje ya bajeti sio Bilioni 350 kama ilivyosemwa na wabunge.
Swali ambalo Mwigulu hakulijibu Symbion amelipwa shilingi ngapi?
Pascal Mayalla na wachambuzi wengine tusaidieni majibu na uelewa maana tumeambiwa watanzania tujadili mambo ya uganga wa kienyeji mambo ya uchumi tumuachie Mwigulu yeye ndio taalamu yake
Wachumi huwa Wana confidence Sana na kijimwambafyMwigulu nahisi anahitaji rehab haraka sana
Upumbavu siyo sifa lakiniWachumi huwa Wana confidence Sana na kijimwambafy
Kama Prof LipumbaWachumi huwa Wana confidence Sana na kijimwambafy
Yes , background, history Yale,makuzi,life status, mazingira aliyokulia ndio yanayomjenga mtu. Yaaani his beliefs, MINDEST,mind frame aliaminishwaje about work,life ,people,how to behave. They had already deeply engrained into his core beliefs of his BEING and become part of his functional level,DNA ,second nature,he/she execute them instinctly and intuitively. Like how our eyes closed automatic when dangerous thing wants to touch it. It's how our amygdala brain aka survival brain/caveman brain responds to danger. It does it automatically.Background ya mtu alipotoka na makuzi yake ina matter sana katika maisha yake yote. Hili jambo huwa tunalipuuzia na linatucost sana.
Hili la fedha zilizolipwa Simbion ni kaa la moto!.Waziri Mwigulu bungeni Februari 1, 2022 amesema fedha aliyolipwa Symbion nje ya bajeti sio Bilioni 350 kama ilivyosemwa na wabunge.