Mwigulu Bungeni amesema fedha aliyolipwa Symbion nje ya bajeti sio Bilioni 350

wachumi hawana lolote,nchi hata bila wachumi itaenda tu.je angekuwa daktari wa binadamu angekuwaje huyu jamaa?hajui kuwa kwa sasa karibia kila mtu anasoma general economics akiwa chuoni?hayo ya vicious economics watu wanayajua halafu kwa karne hii hawezi kumdanganya mtu dunia iko kiganjani.
 
Background ya mtu alipotoka na makuzi yake ina matter sana katika maisha yake yote. Hili jambo huwa tunalipuuzia na linatucost sana.
Unazungumza ya kweli kabisa.
Rudi nyuma ukute ya bomu kwenye kanisa la Olisati Ar,
Bomu kwenye mikutano ya chadema Ar
Mauaji ya wale polosi waliouawa temeke sitaki shari kwa mbinu ya kizuia maandamano ya ukuta nk.
Hayo yote yalihusishwa na njama zilizopangwa na Mwigulu
 
Walikua na kesi na tanesco...na tanesco wangeshindwa tu tungepasuka pakubwa,so nunua,epuka Shari,epuka gharama za kumlipa symbion kila siku hata Kama hazalishi
Mkataba wa Tanesco na symbion ulikua wa kipuuzi. Hii kumlipa hata pale utapoanza kuzaisha umeme mwenyewe ni ujinga
 
Born town wanawala born village ama cowboys
 
Jamaa ni miongoni mwa mawaziri wa hovyo kuwahi tokea kwenye nchi hii.
Ni mtu mwenye kibri na majivuno.
 
Mawaziri waombe kazi na wasailiwe , Wasiteuliwe - Mpina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…